Ati. Hata kama mapanga hayauzwi ningetengeneza langu. Mtt anauma mno. Mie mtt wangu wa kwanza Ana miaka 20 bado namuona mdogo kwa kuwa najua bado Ana ndoto zake anataka kuzifanikisha. Seuze mtt wa darasa la sita, si ajabu Ana miaka 12 au 13 anabebeshwa ujauzito hali ya kuwa yeye mwenyewe bado mtt na yupo kwenye malezi. Mungu Azidi kutusimamia na Awahufadhi wtt wote