Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
enhee, ndo mlisema hatuwaheshimu hatuwasalimii eeeh, sawa.Mababu mnazingua, huku mnawaponda sana watoto wa afu mbili lakini huko maifisini mnataka muishi nao.
Hilo mbona linawezekana sana, jiulize wanaouza miili yao inakuaje.Ila Kuna watu wanazingua sana hivi unalalaje na demu ambaye Hana hisia na wewe kwa kumshindikiza
una mifano heavyilo mbona linawezekana sana, jiulize wanaouza miili yao inakuaje.
Kuna mdau niliona kaandika kuhusu haya yanayosababisha, sasa nimeamini ni moja ya sababu kubwa.enhee,,ndo mlisema hatuwaheshimu hatuwasalimii eeeh,,sawa.
Dunia ilipofikia hata sio jambo la kujiuliza na kukosa majibu. Kulala na mtu kingono siku hizi ni rahisi sana bila hata kuhusika kwa hisia.una mifano heavy
Hata ikiwa hivyo unadhani ndio itakomesha hiyo tabia?Hili jambo liangaliwe kwa jicho Pana na kuna haja ya Wizara mbali mbali Kuteam up ili kutengeneza muongozo wa namna nzuri nafasi za field zinawezwa kugawanywa kwa wanafunzi wanaohitaji, kuliko hili la kuachia watu wakajitafutie huu ndio Mwanzo wa matatizo haya
yani we bado unatetea wazee sio,,wanatunyanyasa sana ingawa mimi sijawahi,ila nilinusurika mwaka 2019 uko arusha nilienda field 🤣🤣apo nna miaka 19 tu afu libaba nadhan lilikua kwenye arobaini naa.....Kuna mdau niliona kaandika kuhusu haya yanayosababisha, sasa nimeamini ni moja ya sababu kubwa.
Ila wenyewe pia mnapenda wazee.
Kosa au tabia chafu ya watu wachache haiwezi kuharibu au kukufanya wewe usiheshimu wengine,enhee, ndo mlisema hatuwaheshimu hatuwasalimii eeeh, sawa.
ila hisia muhimu jamani,,ila pesa shkamooDunia ilipofikia hata sio jambo la kujiuliza na kukosa majibu. Kulala na mtu kingono siku hizi ni rahisi sana bila hata kuhusika kwa hisia.
Ni moja ya suluhu, Kma chanzo chakusumbuliwa ni ili mtu apate Field, kama ameshapata maana yake kizingiti hakipo.Hata ikiwa hivyo unadhani ndio itakomesha hiyo tabia?
Huyu RC anajikanyagakanyaga kujibu swali la msingi ameulizwa "...inapotokea hivyo nikatoe taarifa wapi?"Baada ya ziara ya Mkuu wa Mkoa Albert Chalamila Chuoni hapo kukagua miradi ya ujenzi, alifanya mkutano na Uongozi wa Chuo pamoja na Wanafunzi wa Chuo hicho ambapo katika waliohusika kutoa maoni ni huyu aliyepaza sauti kuhusu rushwa ya ngono.
wapo wanaowafurahia lakini,, kwahiyo swala la kukamatwa labda 40 yao iwe imefikaKosa au tabia chafu ya watu wachache haiwezi kuharibu au kukufanya wewe usiheshimu wengine,
Yapo Mashangazi pia hua yanataka kupelekewa moto na vijana ili yapitishe mambo yao,
Hapo vp? vijana nao wasiwaheshimu kina Mama?
Dawa ya hii midingi isiyokua na akili na utu ni kuwekewa mtego tu,yakisha kamatika yatangazwe nchi nzima na picha zao na clip wakati wanakamatwa zisambazwe kila kona.
Kichwa cha chini hakitambui mambo ya hisia, chenyewe kinajali haja zake[emoji23][emoji23]Ila Kuna watu wanazingua sana hivi unalalaje na demu ambaye Hana hisia na wewe kwa kumshindikiza
Hakuna cha bure Kudadadeki. Unataka utoke Vua Chupi Watu waweke kisha ndiyo Ufikiriwe hutaki Kaa na Ujuzi wako Kwenu.Rushwa ya ngono imetajwa kama kikwazo kikubwa kwa Wanafunzi wa kike wanaokwenda kuomba kufanya field katika Ofisi mbalimbali nchini Tanzania ambapo kero hiyo imeibuliwa na Mwanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila.
Baada ya ziara ya Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila Chuoni hapo kukagua miradi ya ujenzi, alifanya mkutano na Uongozi wa Chuo pamoja na Wanafunzi wa Chuo hicho ambapo katika waliohusika kutoa maoni ni huyu aliyepaza sauti kuhusu rushwa ya ngono.
#milardayoupdates.
nawewe unaamini wanashinikizwa?Ila Kuna watu wanazingua sana hivi unalalaje na demu ambaye Hana hisia na wewe kwa kumshindikiza
Wenyewe si mnasema kutongozwa mwanamke ni sunnah!yani we bado unatetea wazee sio,,wanatunyanyasa sana ingawa mimi sijawahi,ila nilinusurika mwaka 2019 uko arusha nilienda field 🤣🤣apo nna miaka 19 tu afu libaba nadhan lilikua kwenye arobaini naa.....