Mwanafunzi wa field azungumza mbele ya RC Chalamila changamoto ya Rushwa ya ngono wanayokumbana nayo kwenye ofisi mbalimbali wakati wa kutafuta field

Mwanafunzi wa field azungumza mbele ya RC Chalamila changamoto ya Rushwa ya ngono wanayokumbana nayo kwenye ofisi mbalimbali wakati wa kutafuta field

yani we bado unatetea wazee sio,,wanatunyanyasa sana ingawa mimi sijawahi,ila nilinusurika mwaka 2019 uko arusha nilienda field 🤣🤣apo nna miaka 19 tu afu libaba nadhan lilikua kwenye arobaini naa.....
Hapo mbona fair kabisa 😃. Ungeachia mchezo ulienjoy jiji la Arusha. Labda kama hakuwa na hela huyo ndo maana ukachomoa. Vinginevyo ungeliwa tu hata angekuwa 50 😁😁
 
Hapo mbona fair kabisa 😃. Ungeachia mchezo ulienjoy jiji la Arusha. Labda kama hakuwa na hela huyo ndo maana ukachomoa. Vinginevyo ungeliwa tu hata angekuwa 50 😁😁
😄😄Hakua na hela na ndo alikua anafata baada ya mkurugenzi, na nilkua nmepanga kwenye nyumba yake ingawa yeye hakua akiishi apo.
 
Aliyekuzaa alitoa nini hadi akapata?
20231224_095052.jpg
 
Dunia uwanja wa fujo
Niko kwenye daladala asubuhi saa mbili kuna zee anachezewa uume na kabinti hata 23 hakavuki.

Kuna watu wanaujasiri sana kwenye foleni ya magari wao wako kwenye kigari chao, binti anampigisha punyeto zee la miaka 60

Mabinti wamekuwa na tamaa sana na wanaume walafi tupo wengi sana.
 
Back
Top Bottom