Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
- Thread starter
-
- #21
Hakuna cha bure lakini kwanini iwe rushwa ya ngono?Hakuna cha bure Kudadadeki. Unataka utoke Vua Chupi Watu waweke kisha ndiyo ufikiriwe hutaki Kaa na Ujuzi wako Kwenu.
Mbele ya pesa na maslahi mnajali hilo?ila hisia muhimu jamani,,ila pesa shkamoo
Sidhani kama ndio suluhu.Ni moja ya suluhu, Kma chanzo chakusumbuliwa ni ili mtu apate Field, kama ameshapata maana yake kizingiti hakipo.
Yeye mwenyewe ajui anaishia kuhubiri maneno mengi bila jibu la msingi.Huyu RC anajikanyagakanyaga kujibu swali la msingi ameulizwa "...inapotokea hivyo nikatoe taarifa wapi?"
ni sawaSidhani kama ndio suluhu.
Kikishasimama akili huja baadaeKichwa cha chini hakitambui mambo ya hisia, chenyewe kinajali haka zake[emoji23][emoji23]
Hahahaaa, ndio hapo sasa.Kikishasimama akili huja baadae
Sometimes wao wenyewe ndo wanatu-offer hiyo rushwa ili tuwape kipaumbele. Hawataki kukaa kwenye foleniRushwa ya ngono imetajwa kama kikwazo kikubwa kwa Wanafunzi wa kike wanaokwenda kuomba kufanya field katika Ofisi mbalimbali nchini Tanzania ambapo kero hiyo imeibuliwa na Mwanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila.
Baada ya ziara ya Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila Chuoni hapo kukagua miradi ya ujenzi, alifanya mkutano na Uongozi wa Chuo pamoja na Wanafunzi wa Chuo hicho ambapo katika waliohusika kutoa maoni ni huyu aliyepaza sauti kuhusu rushwa ya ngono.
#milardayoupdates.
Wanawake wenyewe wanapenda, kama huko vyuoni certificates za kuvuliwa vyup! ni nyingi mno.ni sawa
Ni ke wachache sana wasiokubaliana na hii ila wengi wanashawishika kufanya hivyo na vile wasivyo na uvumilivu.Sometimes wao wenyewe ndo wanatu-offer hiyo rushwa ili tuwape kipaumbele. Hawataki kukaa kwenye foleni
K ulipewa kwa Kuinunua au Bure? Unailipia VAT kokote? Kwani ukiitoa kisha Watu tuweke hata Kimoko kisha tukusaidie utapungukiwa wapi? Toa tafadhali hakuna cha bure Afrika hii Kudadadeki. Na kwanini Leo GENTAMYCINE nimewageuka hivi ni kutokana na Kitendo unakuta Unamsaida Mdada bila,hata Ngono ( yaani Kibinadamu tu ) kisha akipata Kazi anaanza Kukudhaau na akipata Bwana Ofisini ambaye anakuzidi Cheo anaanza Kubanduliwa nae na Kukuletea Majungu. Kudadadeki na Mimi sasa naanza Kuwakaza bila Huruma na nasema Nitawakaza mno ndiyo niwasaidie potelea mbali na mtanisamehe tu kwa haya Maamuzi yangu Tukuka kwani nina Mifano hai ya nilichokiandika hapa.Hakuna cha bure lakini kwanini iwe rushwa ya ngono?
Huenda naye anatabia hizo, mtu anayekerwa na jambo utamuona tu kwa macho, kesi amepelekewa yeye naye anaitupa kwa Matron, kwani huyo binti hakumuona au hamjui huyo Matron!?Yeye mwenyewe ajui anaishia kuhubiri maneno mengi bila jibu la msingi.
Sana mkuu, kuna mabosi kila mwaka wana uhakika wa mali mpya.Inasikitisha sana
Matroni mwenyewe nae huenda kapata hiyo Kazi au Cheo hicho kwa ajili ya Kukazwa hivyo ni kama mnapaka tu Rangi upepo.Huenda naye anatabia hizo, mtu anayekerwa na jambo utamuona tu kwa macho, kesi amepelekewa yeye naye anaitupa kwa Matron, kwani huyo binti hakumuona au hamjui huyo Matron!?
Ukimsaidia mtu msaidie bila matarajio ya kupata chochote, huo ndio msaada wa kweli.unakuta Unamsaida Mdada bila,hata Ngono ( yaani Kibinadamu tu ) kisha akipata Kazi anaanza Kukudhaau na akipata Bwana Ofisini ambaye anakuzidi Cheo anaanza Kubanduliwa nae na Kukuletea Majungu
sjatongozwa nna mwaka sasaWenyewe si mnasema kutongozwa mwanamke ni sunnah!
sijui wao wenyeweMbele ya pesa na maslahi mnajali hilo?