Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
- Thread starter
-
- #41
wanasema kuna tofauti kati ya baa na ofisini mkuu.Acha upumbavu basi mbona baa mnatoa tuu
Dada kaoge maji ya bahari sio bure kuna namna haipo sawa kwako.sjatongozwa nna mwaka sasa
Every nigga deserves some likkle t¥T pu$$e¥ in dis Crazy worldMababu mnazingua, huku mnawaponda sana watoto wa afu mbili lakini huko maofisini mnataka muishi nao.
Wanaume kwa 99% huwa tunafanana tabia, hawa viongozi wetu huko makao makuu wanaowajua vizuri ni hao mabinti wa vyuo.Huenda naye anatabia hizo, mtu anayekerwa na jambo utamuona tu kwa macho, kesi amepelekewa yeye naye anaitupa kwa Matron, kwani huyo binti hakumuona au hamjui huyo Matron!?
Kwani mi mwenyewe nataka usumbufu sasaDada kaoge maji ya bahari sio bure kuna namna haipo sawa kwako.
Watu washtingisha dishi huyo😂Dada kaoge maji ya bahari sio bure kuna namna haipo sawa kwako.
Hujui wao eh?sijui wao wenyewe
😂😂😂😂 Wtf 😂😂😂😂Every nigga wants some likkle t¥T pu$$e¥
😂😂 Fafanua kwenye dishi apo,,means akili hazipo sioWatu washtingisha dishi huyo😂
Kumbe usumbufu hutaki sasa why ulalamike hutongozwi😁Kwani mi mwenyewe nataka usumbufu sasa
Umerogwa yani, watu wamechezea ulinzi wa anga 😁😂😂 Fafanua kwenye dishi apo,,means akili hazipo sio
Kazi ipo, TAKUKURU haifahamiki na wanafunzi wengi sana.Hiyu nae elimu haijamsaidia. Hawajui TAKUKURU?
wapi nimelalamika ebu kasome mtiririko vizuri,,mihe nimemwambia tena kwa utuliiivu kabisa 😌Kumbe usumbufu hutaki sasa why ulalamike hutongozwi😁
Khaah 🙄,,ila watu sasa nimewakosea nini mimiUmerogwa yani, watu wamechezea ulinzi wa anga 😁
Mabinti wenyewe wanapenda wazee.Every nigga deserves some likkle t¥T pu$$e¥ in dis Crazy world
extro unanidindishaEvery nigga deserves some likkle t¥T pu$$e¥ in dis Crazy world
Unajifariji tu, huombwi hata namba?Kwani mi mwenyewe nataka usumbufu sasa
Kuna mtoto mmoja wa kigambonino anasumbua sana mahakama 😁 anataka nimtaftie kazi ila kila nikiangalia uwezekano naona sielewi basi nimemwambia nitamshtua maana dah kazi ngumu kweli.Hakuna cha bure Kudadadeki. Unataka utoke Vua Chupi Watu waweke kisha ndiyo Ufikiriwe hutaki Kaa na Ujuzi wako Kwenu.
Kivipi mkuu 😅Watu washtingisha dishi huyo😂