Mwanafunzi wa field azungumza mbele ya RC Chalamila changamoto ya Rushwa ya ngono wanayokumbana nayo kwenye ofisi mbalimbali wakati wa kutafuta field

Alafu tuanze na wababu wa humu humu jf.
Kuna wazee hovyo sana humu hawaoni aibu kabisa.
Unakuta mtu anafamilia na watoto wakubwa tu.

Ila kutwa kuhangaika na vitoto vya 2000.
Mi akija ingia mti kwenye 18 haijalishi ni ugomvi wangu au laa ila atajua ajui
Hovyo kabisa.

Ukiwakuta ofisi unaweza kusema watu wa maana kumbe hovyo kabisa
 
Walikufanyaje mkuu wazee wa humu?

Raisi wa wazee humu jf mzee wetu Grahams kuna malalamiko na kero kuhusu serikali yenu ya wazee. Nawasilisha.
 
Walikufanyaje mkuu wazee wa humu?

Raisi wa wazee humu jf mzee wetu Grahams kuna malalamiko na kero kuhusu serikali yenu ya wazee. Nawasilisha.
Ni hovyo sana mkuu kutwa kukimbizana na vitoto vya 2000.

Hivi serious mtu una familia unaganya mambo kama hayo kama sio uzwazwa ni nini..?

Ni wachache sana ambao wanajiheshimu ila wengi wazee wa jf ni hovyo.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila vijana huwa hawana baya wakipewa offer na mashangazi wapo tayari kutumikia kwa utiifu sana.
 
Hakuna cha bure Kudadadeki. Unataka utoke Vua Chupi Watu waweke kisha ndiyo Ufikiriwe hutaki Kaa na Ujuzi wako Kwenu.
Kabisa kaka,office yangu nimeijenga kwa miaka kitambo nikijua faida moja wapo ntakuwa na vuna mbususu za chuo na marup rup mengine alafu we papa moja unapiga kelele na huku wenzako wana achia utam kila wanapo taka field...Basi kwa mwambie huyo Charamile akupe field kwake
 
Ni hovyo sana mkuu kutwa kukimbizana na vitoto vya 2000.

Hivi serious mtu una familia unaganya mambo kama hayo kama sio uzwazwa ni nini..?

Ni wachache sana ambao wanajiheshimu ila wengi wazee wa jf ni hovyo.
Ni hovyo sana mkuu, wazee wa jf waliangalie hili linawashushia heshima yao.

Ila pia mabinti wa 2000 nao wajiheshimu, wanapenda wazee sana kwa sababu ya kuzingatia maokoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…