Khadija Mtalame
Senior Member
- Jul 14, 2021
- 185
- 715
[Habari wanajukwaa!
Mwalimu mmoja amenifata kuniomba nimshauri kitu!
Kuna mwanafunzi kamfata leo, kamwambia Ana tatizo kwamba Ana MIMBA Ina wiki 3, hivyo anaomba msaada wa kununuliwa vidonge.
Ila mwl. kagoma kunijua vidonge, na akamjibu kwamba atampatia jibu baaae na Cha kufanya.
Ndio kanifata Mimi kuniomba ushauri, afanyeje?
N