Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Amejuaje kuwa mimba ina wiki 3?
mi hapo kwenye mda ndii huwa vinanichanganya.
au mpimaji ndio kamkadiria?

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TZ ya viwanda[Habari wanajukwaa!
Mwalimu mmoja amenifata kuniomba nimshauri kitu!
Kuna mwanafunzi kamfata leo, kamwambia Ana tatizo kwamba Ana MIMBA Ina wiki 3, hivyo anaomba msaada wa kununuliwa vidonge.
Ila mwl. kagoma kunijua vidonge, na akamjibu kwamba atampatia jibu baaae na Cha kufanya.
Ndio kanifata Mimi kuniomba ushauri, afanyeje?
N
Week end leo kunywa chochote kwa bill yako ushauri mzuri sana huu[emoji847]Kama ana mimba azae
Ni wewe huyo mwl[Habari wanajukwaa!
Mwalimu mmoja amenifata kuniomba nimshauri kitu!
Kuna mwanafunzi kamfata leo, kamwambia Ana tatizo kwamba Ana MIMBA Ina wiki 3, hivyo anaomba msaada wa kununuliwa vidonge.
Ila mwl. kagoma kunijua vidonge, na akamjibu kwamba atampatia jibu baaae na Cha kufanya.
Ndio kanifata Mimi kuniomba ushauri, afanyeje?
N
Wewe mwalimu wa somo gani kwanza?[Habari wanajukwaa!
Mwalimu mmoja amenifata kuniomba nimshauri kitu!
Kuna mwanafunzi kamfata leo, kamwambia Ana tatizo kwamba Ana MIMBA Ina wiki 3, hivyo anaomba msaada wa kununuliwa vidonge.
Ila mwl. kagoma kunijua vidonge, na akamjibu kwamba atampatia jibu baaae na Cha kufanya.
Ndio kanifata Mimi kuniomba ushauri, afanyeje?
N
ThanksMnunulie vidonge atoe hiyo mimba amalize shule atazaa huko mbeleni, mnamshauri ailee na baba hajulikani,binti aharibu maisha yake wakati kijana anakula raha, atoe hiyo mimba haraka kabla haijawa hatarishi kwa maisha yake, binti ana haki ya kutimiza ndoto zake pia. Mnampa ushauri kama viongozi wa dini wakati sisi sote ni wadhambi. AITOE TU!
Siku mnakwenda mafichoni uliomba ushauri hapa?[Habari wanajukwaa!