Mwanafunzi wa kike kidato Cha 6 kanifata kanambia Ana MIMBA Ina wiki 3(ushauri hapo)

Amejuaje kuwa mimba ina wiki 3?

mi hapo kwenye mda ndii huwa vinanichanganya.

au mpimaji ndio kamkadiria?
 
Namnasihi binti asitoe mimba. Kashafanya dhambi moja, cha kufanya atubie tu na asubiri azae (kama ni binti Muislam). Hiyo ina kheri zaidi kwake. Kuliko kutaka kufanya kosa jengine ambalo hajui litamgharimu vipi duniani na akhera. Kama wasiwasi wake ni kusoma, si siku hizi nasikia hawafukuzwi wanasoma, asisikilize minong'ono ya Shetani, itamgharimu zaidi.

Ila ndio hivyo, hili limfanye amrejee Mola wake. Ni wachache wanapata fursa ya kuzinduliwa kwa yale waliyoyafanya. Kuna wenzie wengi hawapati hiyo, wanaachwa wanafanya dhambi bila tatizo lolote, wanakuja kuadhibiwa mwisho au akhera.
 
TZ ya viwanda
 
Ni wewe huyo mwl
 
Humu jf bhna kila mtu anajikuta mtakatifu [emoji23][emoji23].... nyuma ya keyboard
 
  • Dhambi ya zinaa inatosha, asiongezee dhambi ya KUUA.
  • Si wameruhusiwa kuendelea na masomo baada ya kujifungua.
  • Msitusubue! Wakati wa uzinzi hamkutuomba ushauri huku.
 
Wewe mwalimu wa somo gani kwanza?
 
Mnunulie vidonge atoe hiyo mimba amalize shule atazaa huko mbeleni, mnamshauri ailee na baba hajulikani,binti aharibu maisha yake wakati kijana anakula raha, atoe hiyo mimba haraka kabla haijawa hatarishi kwa maisha yake, binti ana haki ya kutimiza ndoto zake pia. Mnampa ushauri kama viongozi wa dini wakati sisi sote ni wadhambi. AITOE TU!
 
Thanks
 
Siku mnakwenda mafichoni uliomba ushauri hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…