The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Nilifikiri sijaelewa peke yangu mkuu.Dk 3 zote za video zimeenda Bure hakuna maelezo yoyote ya namna ya ufanyaji kazi wa huo mfumo
Wavaa kobazi wana akili sana siseeHamza Salum ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa pili katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya amebuni mfumo wa kulinda mitihani ambao unatajwa kuleta tija katika kukabiliana na wizi na uvujishaji wa mitihani nchini.
View attachment 3168108
Chanzo: Azam TV
Labda wanaficha ila wengine wasije kuiba huo "ubunifu"Hakuna nilichoelewa hapo! Waandishi wetu Bure kabisa