Ni mwanafunzi wa mwaka wa pili anaechukua sheria,ameacha kikaratasi kinachosema amejiua sababu ya ugumu wa maisha.lakini kwa mujibu wa watu wake wa karibu wanasema,msela amepigwa chini na girlfriend wake ndo akaamua kuchukua uamuzi huo..mungu ailaze roho yake mahali panapo stahili.
<br />hili tatizo la kuzinguliwa na wasichana amabao tunawapa mioyo yetu, kumeniathiri hata mimi, lakin nagundua kwamba silaha ya mambo haya ni kutojihusisha kabisa na wasichana, yani kufunga zipu ni muhimu sana<br />
<br />
Jamaa alimaanisha sana maisha magumu, wakati mwingine unashindwa kula, je kufanyakazi utaweza? ni upuuzi sana kutojiaminii kwamaba unaweza ukaishi wewe kama wewe
we ndo umekosea, Uhuru ni gazeti la udaku. Its not a credible sourcePerry umedanganya bana! Jamaa alijinyonga kwa sababu zisizoeleweka, hakua na tatizo pia hakuwahi kukwaruzana na mtu, barua ameandika akiomba azikwe kwao na wasisumbue mtu(wanaotaka kuisoma imewekwa kwenye gazeti la UHURU la leo. Lakini alishawahi jaribu kujiua tena kipindi cha nyuma inahusishwa na matatizo ya kiakili aliyowahi kutibiwa huko nyuma pia. Habari kamili UHURU
Okay if that's what you say. Friends and colleagues have confirmed that (kulikua na maombolezo kitivoni and that is what was said)! Mkuu its a bit ironic if not moronic(no offence) how you rejected facts posted on the paper na kukubaliana na "kapigwa chin na demu akajinyonga" without questioning a thing!we ndo umekosea, Uhuru ni gazeti la udaku. Its not a credible source