Mwanafunzi wa mwaka wa pili udsm,akutwa amejinyonga.

Mwanafunzi wa mwaka wa pili udsm,akutwa amejinyonga.

Ingekuwa step inayofuata baada ya kutoswa ni kujinyonga,ningekuwa marehemu tangu 2009.
 
huwamz mgumu sana kauchukua.kusalitiwa sio kigezo cha kujinyoga.waschana wapo wenye wenye mapenz ya kweli na wapo wenye mapenzi ya udanganyifu.but nothng we cn gv him an advice since is in R.i.P
 
Huyu atakumbana na Allah (s.w) na sisi tusijekujaribu upambavu kama huu. Hasira hasara.
 
Ni ujinga kujiondoa uhai. Angekuwa kule kwetu maiti inapigwa viboko kadhaa kabla ya kuzikwa ili liwe fundisho kwa wengine.
 
Ni mwanafunzi wa mwaka wa pili anaechukua sheria,ameacha kikaratasi kinachosema amejiua sababu ya ugumu wa maisha.lakini kwa mujibu wa watu wake wa karibu wanasema,msela amepigwa chini na girlfriend wake ndo akaamua kuchukua uamuzi huo..mungu ailaze roho yake mahali panapo stahili.

Perry umedanganya bana! Jamaa alijinyonga kwa sababu zisizoeleweka, hakua na tatizo pia hakuwahi kukwaruzana na mtu, barua ameandika akiomba azikwe kwao na wasisumbue mtu(wanaotaka kuisoma imewekwa kwenye gazeti la UHURU la leo. Lakini alishawahi jaribu kujiua tena kipindi cha nyuma inahusishwa na matatizo ya kiakili aliyowahi kutibiwa huko nyuma pia. Habari kamili UHURU
 
Last edited by a moderator:
hili tatizo la kuzinguliwa na wasichana amabao tunawapa mioyo yetu, kumeniathiri hata mimi, lakin nagundua kwamba silaha ya mambo haya ni kutojihusisha kabisa na wasichana, yani kufunga zipu ni muhimu sana

Jamaa alimaanisha sana maisha magumu, wakati mwingine unashindwa kula, je kufanyakazi utaweza? ni upuuzi sana kutojiaminii kwamaba unaweza ukaishi wewe kama wewe
 
hili tatizo la kuzinguliwa na wasichana amabao tunawapa mioyo yetu, kumeniathiri hata mimi, lakin nagundua kwamba silaha ya mambo haya ni kutojihusisha kabisa na wasichana, yani kufunga zipu ni muhimu sana<br />
<br />
Jamaa alimaanisha sana maisha magumu, wakati mwingine unashindwa kula, je kufanyakazi utaweza? ni upuuzi sana kutojiaminii kwamaba unaweza ukaishi wewe kama wewe
<br />
<br />
what on earth are you talking about!!
 
Perry umedanganya bana! Jamaa alijinyonga kwa sababu zisizoeleweka, hakua na tatizo pia hakuwahi kukwaruzana na mtu, barua ameandika akiomba azikwe kwao na wasisumbue mtu(wanaotaka kuisoma imewekwa kwenye gazeti la UHURU la leo. Lakini alishawahi jaribu kujiua tena kipindi cha nyuma inahusishwa na matatizo ya kiakili aliyowahi kutibiwa huko nyuma pia. Habari kamili UHURU
we ndo umekosea, Uhuru ni gazeti la udaku. Its not a credible source
 
Last edited by a moderator:
we ndo umekosea, Uhuru ni gazeti la udaku. Its not a credible source
Okay if that's what you say. Friends and colleagues have confirmed that (kulikua na maombolezo kitivoni and that is what was said)! Mkuu its a bit ironic if not moronic(no offence) how you rejected facts posted on the paper na kukubaliana na "kapigwa chin na demu akajinyonga" without questioning a thing!
 
Jamaa ni wa iringa ludewa huko so nafikiri jibu tosha ushapata..kitu cha mkwawa!
 
Kama kweli chanzo ni kupigwa chini ndio ujinyuongee, ni bora wafe waishe kwani hata hivyo kwa sasa ardhi yetu haina rotuba ya kutosha hivyo vifo vya fedhea kama hivyo kwetu ni faida sana kwani mbolea itaongezeka kwenye udongooooooooo!!!!!!
 
Ni mwanafunzi wa mwaka wa pili anaechukua sheria,ameacha kikaratasi kinachosema amejiua sababu ya ugumu wa maisha.lakini kwa mujibu wa watu wake wa karibu wanasema,msela amepigwa chini na girlfriend wake ndo akaamua kuchukua uamuzi huo..mungu ailaze roho yake mahali panapo stahili.

kama ni wa dini ile inayoamini ukijiua kwenye kundi la watu unaenda peponi, msela lazima aende, ila sijajua ni kwa kujilipua peke yake ndo unaenda peponi au hata ukinywa sumu, anaejua rule ya jiue na kadamnasi uende peponi anijuze
 
Naona watu ukweli hawautaki wanataka tales and gossips! Whatever makes you happy^^
 
Back
Top Bottom