Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Unge jadili mada ungekua mtu wa maana sioni sababu ya kumjadili mtuNilidhani vibaraka wa mabeberu wanaotuharibia nchi waliishilia pale Mr Mzungu alipotoroka na kukimbilia Belgium, kumbe bado wafuasi wake wapo still!? Hii ni hatari na theluthi.
Mkuu ukibaraka wangu uko wapi?Nilidhani vibaraka wa mabeberu wanaotuharibia nchi waliishilia pale Mr Mzungu alipotoroka na kukimbilia Belgium, kumbe bado wafuasi wake wapo still!? Hii ni hatari na theluthi.
Umeweka masomo ambayo hayatusaidii chochote Maisha ni sawa!
Ila pia ningependa kabla hatujaendela uweke list ya masomo yanayotusaidia na uweke hizo faida pia japo kwa uchache tu.
Biolojia inatusaidia kujua mwili na afya zetu, fizikia ndiyo msingi wa ufundi, hesabu tunatumia kila siku. Chemistry, tunatumia kila siku kemikali jiografi na kiingereza ni muhimu sana.Umeweka masomo ambayo hayatusaidii chochote Maisha ni sawa!
Ila pia ningependa kabla hatujaendela uweke list ya masomo yanayotusaidia na uweke hizo faida pia japo kwa uchache tu.
Vema isiwepo na labda mtu apewe maksi kulingana na alivyohudhuria masimulizi.... hizo history na civics hazitakuwa na mitihani au mitihani itajibiwa kwa masimulizi pia?
Vijana mnataka vitu rahisi rahisi tu, mbona sisi tulisoma na tukasajili na masomo mengine na kuyafanyia mitihani? Nadhani tatizo la vijana siku hizi ni kuwa na mambo mengi kichwani, wanataka kuchanganya shule na mambo mengineyo. Hakuna hasara kusoma Civics na. Historia, yanasaidia kuongeza maarifa na ufahamu.Naonelea History na Civics ziwe hazina mitihani wala notisi. Zifundishwe kwa njia ya masimulizi. Tena ili kurahisisha ugumu masomo haya yasimuliwe kwa lugha ya Kiswahili.
Pia mtaala wa kiswahili upunguzwe. Mambo ya mofimu na kuchambua sentensi yatolewe na ikiwezekana kidato cha pili iwe mwisho kukisoma, anayetaka anaweza kuendelea nacho akifika kidato cha tano.
Mambo ya mofimu na vitenzi hayasaidii kitu maishani.
Naomba tujadili hili na nyinyi wakuu sana mtoe maoni yenu jinsi ya kumpunguzia mzigo mwanafunzi wa sekondari.
Biolojia inatusaidia kujua mwili na afya zetu, fizikia ndiyo msingi wa ufundi, hesabu tunatumia kila siku. Chemistry, tunatumia kila siku kemikali jiografi na kiingereza ni muhimu sana.
Zama zimebadilika. Elimu ya kukariri watu kwenye historia, kufaulu mtihani na kupatiwa kazi haisaidii tena. Ni bora kupunguza hayo mambo, tena bora wangeacha masomo ya biashara yanayomfundisha mtu vitu practical.Vijana mnataka vitu rahisi rahisi tu, mbona sisi tulisoma na tukasajili na masomo mengine na kuyafanyia mitihani? Nadhani tatizo la vijana siku hizi ni kuwa na mambo mengi kichwani, wanataka kuchanganya shule na mambo mengineyo. Hakuna hasara kusoma Civics na. Historia, yanasaidia kuongeza maarifa na ufahamu.
Vv
Hizo tunaweza kusimuliana tu kama. Haihitaji concentration kubww kihivyo, mtu akitaka kubobea ataisoma chuoni.Vipi kuhusu historia inayotusaidia kutambua maendeleo/mabadiliko yanayotokea baada ya mwaka , karne baada ya Karne katika hayo masomo tajwa hapo juu?
,,,,Mfano historia kuhusu namna ya kupambana na magonjwa mfano wa corona yalitokea karne zilizopita.
Vipi hiyo historia haitusaidii?
Jamaa kilaza kweliNilidhani vibaraka wa mabeberu wanaotuharibia nchi waliishilia pale Mr Mzungu alipotoroka na kukimbilia Belgium, kumbe bado wafuasi wake wapo still!? Hii ni hatari na theluthi.
Madhumuni ya elimu ni kuongeza ufahamu na maarifa ya kukabili mazingira yako. Hebu niambie huoni umuhimu wa kujua historia? Civics haikuongezei maarifa kweli?Zama zimebadilika. Elimu ya kukariri watu kwenye historia, kufaulu mtihani na kupatiwa kazi haisaidii tena. Ni bora kupunguza hayo mambo, tena bora wangeacha masomo ya biashara yanayomfundisha mtu vitu practical.