Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poleni sana wafiwa,waalimu wawafundishe watoto njia za kutatua migogoro kwa amani.Bahati mbaya jamani. Poleni sana wafiwa na mtoto mathew. ni michezo ya kitoto darasani
Poleni sana wafiwa,waalimu wawafundishe watoto njia za kutatua migogoro kwa amani.
mwanzoni jina limehidhiwa, lakini mwishini mwandishi amelitaja. waandishi wa bongo akili zao zinahitaji king'amuz kupunguza chenga
MFANO WA UANDISHI WA UKAJANJA
mwenye umri umri wa miaka 12 (jina lake linahifadhiwa kutokana na umri wake),
alafu
marehemu alikuwa amengangania daftari alilokuwa ameazimwa na Sophia Mathew kwa ajili ya kuandika notes kitendo ambacho kilimkera mwenzake na kuzua ugomv
Dah! Nimekumbuka mbali sana.Niliwahi kumpiga mwenzangu makofi ya kisogo akatoka damu nyingi sana puani..daah
MFANO WA UANDISHI WA UKAJANJA
mwenye umri umri wa miaka 12 (jina lake linahifadhiwa kutokana na umri wake),
alafu
marehemu alikuwa amengangania daftari alilokuwa ameazimwa na Sophia Mathew kwa ajili ya kuandika notes kitendo ambacho kilimkera mwenzake na kuzua ugomv
Bila shaka Mungu atakusamehe!!
jina la muuaji na aliyefariki hayakutajwa,jina lililotajwa ni la mtu aliyewaazimisha notes ambay ni sofia mathew!