Mwanafunzi wa Shule ya Msingi aua mwenzake kwa ngumi

Bahati mbaya jamani. Poleni sana wafiwa na mtoto mathew. ni michezo ya kitoto darasani
 
But inauma!!,iwe tu fundisho kwa watoto wengine waache kbsa michezo ya ajabu,na walimu fanyani watoto wawe na tabia za kuleta kero zao kwenu ili wasiwe wanaamua kugombana!!!,jmn inauma sana!!
 
Dah! Nimekumbuka mbali sana.Niliwahi kumpiga mwenzangu makofi ya kisogo akatoka damu nyingi sana puani..daah
 
Poleni sana wafiwa,waalimu wawafundishe watoto njia za kutatua migogoro kwa amani.

Tusiwatwike walimu majukumu mengi, sawa walinu watawafundisha akirudi nyumbani baba na mama wanapigana kama wanyama pori unategemea.ninu? Jamii nzuri inaanzia kwa ngazi ya familia!
 
watoto wengine wachawi, wamebebeshwa damu ya umauti bila wao kujua.
 
mwanzoni jina limehidhiwa, lakini mwishini mwandishi amelitaja. waandishi wa bongo akili zao zinahitaji king'amuz kupunguza chenga

Mkuu ni moderators hao,mie nilirusha habari ikiwa complete wao wakaiedit,but nahc,pia editor mwenyewe mvivu kisoma hakusoma yote hivyo hakujua km hilo jina limetajwa tena !!
 
Reactions: Kig

No mkuu,moderators wamelitoa lilitajwa,then wao wakasoma juujuu na kulitoa bila kujua kama huku chini limetajwa pia;-)
 
Hakukusudia kuua kama lulu yupo ktaa na huyu dogo afanyiwe hvyohvyo la sivyo tutajua hz mahakama zetu znafanya kaz kwa kujuana. but kazi ipo sana
 

jina la muuaji na aliyefariki hayakutajwa,jina lililotajwa ni la mtu aliyewaazimisha notes ambay ni sofia mathew!
 
Pole kwa wafiwa.
Three people to build a strong nation and quality society;
Father, Mother and Teacher !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…