Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Mhii tafuta hela uache kuchunguza maisha ya watuKuna watu wanajeuri sijui ya fedha? Mtoto wake mwaka jana alifaulu kwa wastani wa "C" kapelekwa shule ya kata kama wanafunzi wengine wote. Pamoja na kwamba hizi shule za kata kuna wanafunzi waliingia kwa wastani wa "A". Sasa huyu jamaa anamuhamishia kidato cha pili shule za bweni kitaifa inawezekanaje?
Inawezekana, punguza roho mbaya kijana.Kuna watu wanajeuri sijui ya fedha? Mtoto wake mwaka jana alifaulu kwa wastani wa "C" kapelekwa shule ya kata kama wanafunzi wengine wote. Pamoja na kwamba hizi shule za kata kuna wanafunzi waliingia kwa wastani wa "A". Sasa huyu jamaa anamuhamishia kidato cha pili shule za bweni kitaifa inawezekanaje?
Roho mbaya kivipi? Unajua sifa za kusoma shule za bweni kitaifa? Alafu kindezindezi unavizia akiingia kidato cha pili na kalai lake "C" ndo umchanganye na watoto werevu?Inawezekana, punguza roho mbaya kijana.
Inawezekana tu kama nafasi ipo, lakini pia kupata C si kigezo cha kushindwa kusoma Bweni.Kuna watu wanajeuri sijui ya fedha? Mtoto wake mwaka jana alifaulu kwa wastani wa "C" kapelekwa shule ya kata kama wanafunzi wengine wote. Pamoja na kwamba hizi shule za kata kuna wanafunzi waliingia kwa wastani wa "A". Sasa huyu jamaa anamuhamishia kidato cha pili shule za bweni kitaifa inawezekanaje?
Mxiuuuh! Rushwa haitakuacha salama!Mhii tafuta hela uache kuchunguza maisha ya watu
Hiyo nafasi unajua wengi wameikosa kwa machozi? Mwaka huo husika wengi waliikosa kwa kupata wastani wa "A" alafu unavizia kudandia meli njiani?Inawezekana tu kama nafasi ipo, lakini pia kupata C si kigezo cha kushindwa kusoma Bweni.
Inawezekana tu kama nafasi ipo, lakini pia kupata C si kigezo cha kushindwa kusoma Bweni.
Hili ndio jibu la swali lako. Hakuna kinachoshindikana.Inawezekana tu kama nafasi ipo, lakini pia kupata C si kigezo cha kushindwa kusoma Bweni.
Sio wivu mkuu! Kuna watu wana madhalau! Mtoto wake kazungusha kalai alafu anampeleka kwa waliopata misonge kwa kufanya kazi? Si ampeleke private?Wivu kiwango cha SGR!!!
Labda wewe ndo masikini! Rudi soma uzi ndo utaelewa! Shule za bweni za private zipo! Hizi ni shule za umma ambazo zina vigezo!Kemea roho ya kimaskini mkuu,. Itakutesa sana
Aya maisha ya kanjanja ndo yanaturudisha nyuma kama taifa! Kama kuna forgery katika elimu ya msingi na sekondari, vipi katika ngazi za juu za ajira?Kemea roho ya kimaskini mkuu,. Itakutesa sana
Sio kila anaeenda anakua na vigezo,.Labda wewe ndo masikini! Rudi soma uzi ndo utaelewa! Shule za bweni za private zipo! Hizi ni shule za umma ambazo zina vigezo!
Yaani watanzania wanapenda maisha ya ujanjaujanja! Ukiwa kazini ukaiba na kununua gari na kujenga nyumba watakushangilia kuwa wewe ndo mwenye akili! Huu ni wizi na utapeli kama wezi na matapeli wengine!Tusibeze, kuna hoja. Tukisema mleta Uzi ana wivu, tafsiri yake ni kwamba ukiwa na uwezo wa kuhonga, basi wewe honga tu. Kumbuka zile ni shule zenye mpango maalum, kama kuna mtu ameenda kinyume na utaratibu basi huenda hiyo ikahusishwa na rushwa. Je, turuhusu rushwa ili tusionekane tuna wivu?
Angekua mtoto amefeli kabisa ana F au vitu zingine huko ningekubaliana na wewe,.Aya maisha ya kanjanja ndo yanaturudisha nyuma kama taifa! Kama kuna forgery katika elimu ya msingi na sekondari, vipi katika ngazi za juu za ajira?
Kwanza huyo mkuu wa shule aliyempokea, kampokea kwa rushwa! Mfumo unaonyesha wazi kuwa alipata "C" na kupelekwa shule anazostahili. Hata hiyo shule ya kata anayoikimbia kuna waliopelekwa hapo kwa wastani wa "A" na "B"! Kwanini hao walinyimwa hiyo fursa alafu wewe unaenda kuingia kwa rushwa kidato cha pili?Sio kila anaeenda anakua na vigezo,.
Halafu hela nayo ni kigezo au hujui?,.
Kwamba huyo mtoto akienda kwa vile ana C atashindwa kupata A NECTA??,.
Nyie ndio wale mliokua mkiona wenzenu wana... Kwanza nimechoka kuandika
Uko sahihi mkuu unachokiwaza ni sawa kabisaš¤
Sawa buana uko sahihi mkuuKwanza huyo mkuu wa shule aliyempokea, kampokea kwa rushwa! Mfumo unaonyesha wazi kuwa alipata "C" na kupelekwa shule anazostahili. Hata hiyo shule ya kata anayoikimbia kuna waliopelekwa hapo kwa wastani wa "A" na "B"! Kwanini hao walinyimwa hiyo fursa alafu wewe unaenda kuingia kwa rushwa kidato cha pili?