Nasikitika sana kwa kifo cha mwanafunzi huyu,ila jamani tuache pia tabia ya kuua madereva na kuchoma magari Yao pindi wanaposimama kutoa msaada.Kwa mfano ukigonga mtu pale tandale just declare yourself dead ukisimama.Hii inachingia wengi kutosimama.RIP engineer wetu.So sad your life was cut short.
On top: dereva makini ni yule awaonae woote ni wendawazimu ispokuwa yeye! I mean akiona mtu amefanya kosa ajitahidi kuepusha yale madhara ambayo yanaweza kuepukika, kwani kwa muda ule yeye ndio mzma na waliobaki ni wendawazimu