Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

 
inasemekan kua baadhi ya wanawake wenye tabia za kiume kam vile saut kua nene,kutanuka vifua n.k inatokana na hormonal disorder, swali:je hizo hormone za kiume zinazalishwa wapi kwenh mwil wa mwanamke?
 
Kwa kawaida kila mtu ameumbwa na hormone zote mbili za kike na kiume, kinachotofautisha ni kama ww mwanaume bas hormones zitazozalishwa nying ni za kiume..na kama mwanamke anatabia za kiume bas hormones za kiume zinazaliashwa kwa wing kuliko za kike,(HAYO NI MAON YANGU MACHACHE TUWASUBIRI WATAALAM KWA KINA ZAIDI)
 
anaeweza anisaidie utofauti kati ya phrasal verbs and preposional verbs...asante
 
Hapana Kila Mtu Ana Hormone Zake Ila Mabadiliko Ya Maumbile Pamoja Na Vitu Vingine Inatoka Na Kuzidi Au Kupungua Kwa Hormone Katika Mwili Wa Binadamu.

Hata Wewe Unaweza Kuwa Na Mwonekano Wa Kike Kama Kunakuzi Kwa Hormone Za Testesterone.

Soma Kitabu Cha Biology Kidato Cha Tatu Katika Topic Ya Cordination Kipengele Cha Endocrine System.
 
Ningependa kuujua mpngilio mpya wa mark kwa o level na advance mkuu
 
Jamani samahani najua sio mahala pake. Ila shida yangu naomba kufundishwa jinsi ya kuanzisha uzi "thread " huku Jf msaada plz
Kwa kutumia cm
 
Last edited:
iko poa sana kwa english language na Geography 1 up 6 usipate shida kuniuliza
 
Jamani samahani najua sio mahala pake. Ila shida yangu naomba kufundishwa jinsi ya kuanzisha uzi "thread " huku Jf msaada plz
Kwa kutumia cm
Fungua jukwaa usika kisha nafuta sehemu ilipoandikwa "new topic" fungua hapo utaona mwenyewe utaandika heading ya topic yako na maelezo mengn mwisho uta submit
 
Awali ya yote Alfabeti ni nomino, maana yake ni herufi za lugha zilizopangwa kwa utaratibu maalum km vile, a,b,ch,d.e n.k ambazo hutumiwa katika maandishi. Kwa mtiririko huo alfabeti ni Konsonanti na Irabu bila kusahau Viyeyusho (w) na (y)
Alfabet ni nomino? kvp mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…