Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

A spout pipe of diameter 0.5cm is connected horizintally at the bottom of a cylindrical vessel of diameter 15cm as shown in Fig. below

When water is poured into the vessel, it leaves the spout in form of a fountain. Find the height to which the vertical stream of water goes, if the water level in the vessel is maintained at a constant height of 0.45m
Mkuu vipi ulipata jibu LA hili swali lako?
 
Wakuu katika kupitia nyuzi mbalimbali humu nimegundua hili jukwaa lina wanafunzi wengi sana hasa kidato cha 5 au chini ya hapo pia wanavyuo

Hivyo basi ni vyema walimu na watu wenye uzoefu tuwasaidie hawa watu ili wafanye vyema ktk masomo yao kwa wenye nia njema, jukwaa hili ni muhimu na tukilitumia tukainua ufaulu wa ndugu zetu tutaongeza Tanzania njema yenye wasomi bora.

karibuni, mimi tupia swali la linguistics/language 1&2 (kwa A-level) au english kwa O - level na Geography.

Walimu wazuri na Wataalam wengine watajitajitokeza ukirusha swali lolote.
 
MSAADA MSAADA..nilihitimu form 4. mwaka 2009. na nilipata division 3..tatizo nikwamba sikufanya masomo ya sayansi yaani chemistry na physics ila biology nilipata C...nilipoendelea na arts NIKAKWAMA Form 6....ila naupenda sana udaktari...jaman naomba uliza hakuna namna nikausomea jamani..maana hii arts sina mpango nayo kabisa...MSAADA. TAFADHARI....
 
Kwa Hali ya sasa itakugharimu vyuo vingi vinahitaji watu waliosoma chemistry and na biology na vingne had physics ili vikuruhusu kusoma clinical officer kama malengo yako ni kuwa daktar, ngoja tuwasubr weny ujuzi na hivi vitu watueleze kwa kina
 
Kuna mtu kauliza why British referred as workshop of the word.

When we talk abt workshop of the world we means that British was the developed nation rather than any nation in the world.

By 1760 ,it was the time where agricultural activities( agrarian revolution ) ,the rise of merchant capital, industrialization were developed.

And that were the reasons, there were many reasons bt those are few!

Questions concerning with literature and history ua alowed to ask. Any level of education.
 
naomba kujuaa tofaut ya gpa na mfumo wa division wa zaman walmu
 
MSAADA MSAADA..nilihitimu form 4. mwaka 2009. na nilipata division 3..tatizo nikwamba sikufanya masomo ya sayansi yaani chemistry na physics ila biology nilipata C...nilipoendelea na arts NIKAKWAMA Form 6....ila naupenda sana udaktari...jaman naomba uliza hakuna namna nikausomea jamani..maana hii arts sina mpango nayo kabisa...MSAADA. TAFADHARI....
Kuna chuo kipo, nifuate pm km upo tayari
 
MSAADA MSAADA..nilihitimu form 4. mwaka 2009. na nilipata division 3..tatizo nikwamba sikufanya masomo ya sayansi yaani chemistry na physics ila biology nilipata C...nilipoendelea na arts NIKAKWAMA Form 6....ila naupenda sana udaktari...jaman naomba uliza hakuna namna nikausomea jamani..maana hii arts sina mpango nayo kabisa...MSAADA. TAFADHARI....
rudi shuke ukasome Phy, Chem na Bios... olevel,,, then kutoka hapo ndio uende form 5 au diploma ya clinical medicine
 
!
!
Mimi nina swali moja la jiografia. Dunia iko duara na inazunguka katika mhimili wake. Vipi kama nikipanda chopa halafu ile chopa ikapaa kidogo na kuganda hapo juu je inaweza kutokea ikawa sehemu nyingine baada ya muda? Kwa sababu itakuwa imeiacha dunia inayozunguka
 
hautaganda. dunia na vitu vyote ndani yake vinazunguka kwa speed ya 1600km/hr. ni kama tuko kwenye basi ukirusha funguo juu itatua ulipo sababu nayo ipo kwenye mwendo.
 
rudi shuke ukasome Phy, Chem na Bios... olevel,,, then kutoka hapo ndio uende form 5 au diploma ya clinical medicine
Nimesikia naweza rudia somo moja tu yaani chemistry ..maana mpango wangu ni kuchukua CBG advanced level je ni kweli maana biology nina C na geography d...je ni kweli?
 
Dah aseee mie nasikia kichwa kinauma naona haya ni elementary education.... the real one ipo mtaani, ingawa hii nayo inasaidia kuleta mwanga wa maisha ya duniani....

Mazuri lakini...
Majibu yenu watalaam ni mazuri pia...

Sina maana ya kuwakejeri au kuwa kosea...

I just spoke my mind!
Namasté!
 
hautaganda. dunia na vitu vyote ndani yake vinazunguka kwa speed ya 1600km/hr. ni kama tuko kwenye basi ukirusha funguo juu itatua ulipo sababu nayo ipo kwenye mwendo.

!
!
Tofauti na funguo ambayo itarudi chini kutokana na nguvu ya uvutano. Chopa ina uwezo wa kupaa na kubakia huko juu. Swali libaki hapo hapo je nitatokea sehemu nyingine?
 
Back
Top Bottom