Mkuu vipi ulipata jibu LA hili swali lako?A spout pipe of diameter 0.5cm is connected horizintally at the bottom of a cylindrical vessel of diameter 15cm as shown in Fig. below
When water is poured into the vessel, it leaves the spout in form of a fountain. Find the height to which the vertical stream of water goes, if the water level in the vessel is maintained at a constant height of 0.45m
Wakuu katika kupitia nyuzi mbalimbali humu nimegundua hili jukwaa lina wanafunzi wengi sana hasa kidato cha 5 au chini ya hapo pia wanavyuo
Hivyo basi ni vyema walimu na watu wenye uzoefu tuwasaidie hawa watu ili wafanye vyema ktk masomo yao kwa wenye nia njema, jukwaa hili ni muhimu na tukilitumia tukainua ufaulu wa ndugu zetu tutaongeza Tanzania njema yenye wasomi bora.
karibuni, mimi tupia swali la linguistics/language 1&2 (kwa A-level) au english kwa O - level na Geography.
Walimu wazuri na Wataalam wengine watajitajitokeza ukirusha swali lolote.
Kuna chuo kipo, nifuate pm km upo tayariMSAADA MSAADA..nilihitimu form 4. mwaka 2009. na nilipata division 3..tatizo nikwamba sikufanya masomo ya sayansi yaani chemistry na physics ila biology nilipata C...nilipoendelea na arts NIKAKWAMA Form 6....ila naupenda sana udaktari...jaman naomba uliza hakuna namna nikausomea jamani..maana hii arts sina mpango nayo kabisa...MSAADA. TAFADHARI....
Akufuate wapi sema chuo kilipo watu wakapige msuli.Kuna chuo kipo, nifuate pm km upo tayari
rudi shuke ukasome Phy, Chem na Bios... olevel,,, then kutoka hapo ndio uende form 5 au diploma ya clinical medicineMSAADA MSAADA..nilihitimu form 4. mwaka 2009. na nilipata division 3..tatizo nikwamba sikufanya masomo ya sayansi yaani chemistry na physics ila biology nilipata C...nilipoendelea na arts NIKAKWAMA Form 6....ila naupenda sana udaktari...jaman naomba uliza hakuna namna nikausomea jamani..maana hii arts sina mpango nayo kabisa...MSAADA. TAFADHARI....
hautaganda. dunia na vitu vyote ndani yake vinazunguka kwa speed ya 1600km/hr. ni kama tuko kwenye basi ukirusha funguo juu itatua ulipo sababu nayo ipo kwenye mwendo.!
!
Mimi nina swali moja la jiografia. Dunia iko duara na inazunguka katika mhimili wake. Vipi kama nikipanda chopa halafu ile chopa ikapaa kidogo na kuganda hapo juu je inaweza kutokea ikawa sehemu nyingine baada ya muda? Kwa sababu itakuwa imeiacha dunia inayozunguka
Kinaitwaje?Kuna chuo kipo, nifuate pm km upo tayari
Nimesikia naweza rudia somo moja tu yaani chemistry ..maana mpango wangu ni kuchukua CBG advanced level je ni kweli maana biology nina C na geography d...je ni kweli?rudi shuke ukasome Phy, Chem na Bios... olevel,,, then kutoka hapo ndio uende form 5 au diploma ya clinical medicine
hautaganda. dunia na vitu vyote ndani yake vinazunguka kwa speed ya 1600km/hr. ni kama tuko kwenye basi ukirusha funguo juu itatua ulipo sababu nayo ipo kwenye mwendo.
hautatokea sehemu nyingine.!
!
Tofauti na funguo ambayo itarudi chini kutokana na nguvu ya uvutano. Chopa ina uwezo wa kupaa na kubakia huko juu. Swali libaki hapo hapo je nitatokea sehemu nyingine?
Physics na chemistry npo tunaweza kusaidiana
Kuna kosonanti na irabu irabu ni a e i o u zinazobakia zote ni kosonantikatika kiswahili kuna alfaberti mbili ni zipi hizo wakuu? msada!