mkuu Cc tpaul:
Kwanza, Naomba unisaidie kujua ni theory (kwasababu haijathibitishwa) ipi inayoelezea haswa chanzo cha dunia hii na yenye mantiki kabisa mpaka iaminiwe?
Pili, Ni ushahidi upi unaoonesha KWELI kuwa kuna sayari 9 na zimepangana kuanzia Mercury,Venus,Earth n.k? Ni nani alithibitisha mpaka sisi watu weusi tulio nyuma sana kisayansi tukaamini?
Tatu,chanzo cha jua ni nini? Na ni kweli jua lina compositions ya elements kama Helium?
Msaada tafadhali hayo maswali yananifikirishaga sana na yananifanyaga nisiamini katika sayansi kweli.