Kule Kwetu
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 3,157
- 1,894
Mimi naona kama hukuwa serious katika kuuliza hilo swali mkuu,nafikiri lami ni nyeusi kutokana na material yanayotumika kuitengeneza,ni pamoja na rubber/mpira na kokoto sijui na vingine.ndo majibu hayo tunatakiwa kuyapata humu
nauliza the imperialist fighting among the european powersduring 1914-1918was invitableKwanini ukichukua kopo mfano kopo la dasani tupu ukaanza kuvuta hewa (kwa mdomo) iliyomo ndani ya kopo hilo kopo hujikunja...?
swali eexplain the factor influence the climateWakuu katika kupitia nyuzi mbalimbali humu nimegundua hili jukwaa lina wanafunzi wengi sana hasa kidato cha 5 au chini ya hapo pia wanavyuo
Hivyo basi ni vyema walimu na watu wenye uzoefu tuwasaidie hawa watu ili wafanye vyema ktk masomo yao kwa wenye nia njema, jukwaa hili ni muhimu na tukilitumia tukainua ufaulu wa ndugu zetu tutaongeza Tanzania njema yenye wasomi bora.
karibuni, mimi tupia swali la linguistics/language 1&2 (kwa A-level) au english kwa O - level na Geography.
Walimu wazuri na Wataalam wengine watajitajitokeza ukirusha swali lolote.
mambo yaliyo saidia kukua nakuenea kwa kiswahili ktk enziya wajerumaniTuko pamoja
ZINATEMBEA KATIKA KASI SAWAeven if the two vehicles were travelling at the same acceleration. (mie sio mwanafunzi ila ninanoa kichwa kidogo hasa hapo unaposema travelling at the same acceleration, kwa lugha rahisi n nini mkuu kwingine kote nimeelewa somo)
mkuu lakini kwem maji oxygen haipo kama free molecule kule si ipo ndani ya water as compound,ukitaka oxygen peke yake labda ubreak hio compound ndo utapata oxyegn...ukitumia electrolysisMkuu naomba usidharau hili swali langu:- Hivi huwa nasikia kwenye maji kuna oxygen na ndio maana huwa kunakuwa na zile bubbles...swali langu:
Kama kwenye maji kuna oxygen mbona tukizama kwenye maji tunashindwa kupumua na tunakufa?
Shukran mkuu,nimekuelewa.mkuu lakini kwem maji oxygen haipo kama free molecule kule si ipo ndani ya water as compound,ukitaka oxygen peke yake labda ubreak hio compound ndo utapata oxyegn...ukitumia electrolysis
swa mkuu kama umeelwa ngoja namimi nkuulize,kwanii sisi binadamu hatuwez kuvuta oksijen tukiwa ndani ya maji lakini samaki wanatumia oksijen mda wote wanaoishi humo ndani ya maji? naomba kuwakilishaShukran mkuu,nimekuelewa.
hio desimali utakuwa mkia wa ng`ombeHehehe....... Nilikuwa nauliza tu
Sawa mkuu,nikumbukavyo nilivyofunzwa tokea primary ni kwamba samaki wana Matamvua,ambayo kazi yake ni kupokea maji kupitia mdomoni kwa samaki na kuibadilisha au kutengeneza oxygen kupitia hayo maji (kwakuwa kwenye maji kuna oxygen ila bado haijawa disolved).swa mkuu kama umeelwa ngoja namimi nkuulize,kwanii sisi binadamu hatuwez kuvuta oksijen tukiwa ndani ya maji lakini samaki wanatumia oksijen mda wote wanaoishi humo ndani ya maji? naomba kuwakilisha
PHRASAL VERB consists of a verb and either or both of a preposition or adverb, that has idiomatic meaning
PREPOSITIONAL VERB is an idiomatic expression that combines a verb and a preposition to make a new verb with a distinct meaning.
smply because we human beings do not have the specilised breathing system of which the fishes have called gills remember the fishes on water depend on oxygen too we human beings fall under the mamals hence one characteristic is that they breath through lungsMkuu naomba usidharau hili swali langu:- Hivi huwa nasikia kwenye maji kuna oxygen na ndio maana huwa kunakuwa na zile bubbles...swali langu:
Kama kwenye maji kuna oxygen mbona tukizama kwenye maji tunashindwa kupumua na tunakufa?
Kiongozi 1 litre = 1000mililitreSWALI HESABU;;;
Hivi lita moja ni sawa na kilo ngapi? na tunaconverte vipi?
subiri wenyewe wanakujaNaona hamna watalam wa language hum maana swali langu hapo juu halijibiwi
waliokufa + wagonjwa + wazima = jumla ya ng'ombe
waliokufa/jumla + wagonjwa/jumla + wazima/jumla = jumla/jumla
1/4 + 1/5 + 180/jumla = 1
180/jumla = 1 - 1/4 - 1/5
180/jumla = 20/20 - 5/20 - 4/20
180/jumla = (20 - 5 - 4)/20
180/jumla = 11/20
180*20 = 11*jumla
180*20/11 = jumla
jumla = 327.27272 (327+3/11) cows
Mzee Yagayaga alikuwa na ng'ombe 327+3/11 (327.2727)
Lakini robo (81+9/11) walikufa, kwa hiyo amebaki na ng'ombe 245+5/11 (245.4545)
Kuhama chuo kwa sasa ni ngumu sana ndugu yangu, isitoshe ndio mnaelekea kumaliza semester
umekosea kuanza kwa ng'ombe waliokufawaliokufa + wagonjwa + wazima = jumla ya ng'ombe
waliokufa/jumla + wagonjwa/jumla + wazima/jumla = jumla/jumla
1/4 + 1/5 + 180/jumla = 1
180/jumla = 1 - 1/4 - 1/5
180/jumla = 20/20 - 5/20 - 4/20
180/jumla = (20 - 5 - 4)/20
180/jumla = 11/20
180*20 = 11*jumla
180*20/11 = jumla
jumla = 327.27272 (327+3/11) cows
Mzee Yagayaga alikuwa na ng'ombe 327+3/11 (327.2727)
Lakini robo (81+9/11) walikufa, kwa hiyo amebaki na ng'ombe 245+5/11 (245.4545)
wewe uko sawa nadhani wao ndo wanakosea! nimejaribu kupost muda si mrefuNikukosoe kidogo.... Mi ni dada sio kaka, kujaribu sio uvivu. Lakini asante
umekosea kuanza kwa ng'ombe waliokufa
simply iko hv
jumla ya ng'ombe hatujui tuseme x
waliokufa= 1/4x
wanaoumwa ni 1/5 ya waliobaki= (x-1/4x)*1/5
wazaima ni 180
kwa hyo
waliokufa + wagonjwa + wazima = x
1/4x+(x-1/4x)1/5+180= x
1/4x+x/5-x/20+180= x
zinazofanana ziende upande moja
180=x-x/4-x/5+x/20
180=(20x-5x-4x+x)/20
180= 12x/20
180=3x/5
180*5= 3x
900=3x
900/3=x
x= 300
kwa hiyo jumla ya ng'ome ni 300