Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

ndo majibu hayo tunatakiwa kuyapata humu
Mimi naona kama hukuwa serious katika kuuliza hilo swali mkuu,nafikiri lami ni nyeusi kutokana na material yanayotumika kuitengeneza,ni pamoja na rubber/mpira na kokoto sijui na vingine.
 
Kwanini ukichukua kopo mfano kopo la dasani tupu ukaanza kuvuta hewa (kwa mdomo) iliyomo ndani ya kopo hilo kopo hujikunja...?
nauliza the imperialist fighting among the european powersduring 1914-1918was invitable
 
Wakuu katika kupitia nyuzi mbalimbali humu nimegundua hili jukwaa lina wanafunzi wengi sana hasa kidato cha 5 au chini ya hapo pia wanavyuo

Hivyo basi ni vyema walimu na watu wenye uzoefu tuwasaidie hawa watu ili wafanye vyema ktk masomo yao kwa wenye nia njema, jukwaa hili ni muhimu na tukilitumia tukainua ufaulu wa ndugu zetu tutaongeza Tanzania njema yenye wasomi bora.

karibuni, mimi tupia swali la linguistics/language 1&2 (kwa A-level) au english kwa O - level na Geography.

Walimu wazuri na Wataalam wengine watajitajitokeza ukirusha swali lolote.
swali eexplain the factor influence the climate
Tuko pamoja
mambo yaliyo saidia kukua nakuenea kwa kiswahili ktk enziya wajerumani
 
even if the two vehicles were travelling at the same acceleration. (mie sio mwanafunzi ila ninanoa kichwa kidogo hasa hapo unaposema travelling at the same acceleration, kwa lugha rahisi n nini mkuu kwingine kote nimeelewa somo)
ZINATEMBEA KATIKA KASI SAWA
 
I think you meant: '...it is rare to find two different vehicles travelling at the same 'acceleration'...' I think you meant 'Velocity' which is the change of displacement (distance in a specific direction) with time whereas 'Acceleration' is the change of Velocity with time.

Kwa lugha ya taifa: Kama unabadili spidi i.e ulikua unatembea 20km/hr ukaongeza kwenda 40km/hr then 60km/hr hapo unakua una-accelerate. Ila kama unatembea 50km/hr toka point A kwenda point B hiyo ni Velocity (sometimes interchangeably known as Speed japo technically 'Velocity' and 'Speed' are different.
 
Mkuu naomba usidharau hili swali langu:- Hivi huwa nasikia kwenye maji kuna oxygen na ndio maana huwa kunakuwa na zile bubbles...swali langu:

Kama kwenye maji kuna oxygen mbona tukizama kwenye maji tunashindwa kupumua na tunakufa?
mkuu lakini kwem maji oxygen haipo kama free molecule kule si ipo ndani ya water as compound,ukitaka oxygen peke yake labda ubreak hio compound ndo utapata oxyegn...ukitumia electrolysis
 
mkuu lakini kwem maji oxygen haipo kama free molecule kule si ipo ndani ya water as compound,ukitaka oxygen peke yake labda ubreak hio compound ndo utapata oxyegn...ukitumia electrolysis
Shukran mkuu,nimekuelewa.
 
Shukran mkuu,nimekuelewa.
swa mkuu kama umeelwa ngoja namimi nkuulize,kwanii sisi binadamu hatuwez kuvuta oksijen tukiwa ndani ya maji lakini samaki wanatumia oksijen mda wote wanaoishi humo ndani ya maji? naomba kuwakilisha
 
swa mkuu kama umeelwa ngoja namimi nkuulize,kwanii sisi binadamu hatuwez kuvuta oksijen tukiwa ndani ya maji lakini samaki wanatumia oksijen mda wote wanaoishi humo ndani ya maji? naomba kuwakilisha
Sawa mkuu,nikumbukavyo nilivyofunzwa tokea primary ni kwamba samaki wana Matamvua,ambayo kazi yake ni kupokea maji kupitia mdomoni kwa samaki na kuibadilisha au kutengeneza oxygen kupitia hayo maji (kwakuwa kwenye maji kuna oxygen ila bado haijawa disolved).

Kwahiyo oxygen hiyo inamwezesha samaki kupumua.
 
PHRASAL VERB consists of a verb and either or both of a preposition or adverb, that has idiomatic meaning

PREPOSITIONAL VERB is an idiomatic expression that combines a verb and a preposition to make a new verb with a distinct meaning.


tupe mifano nahreem
 
Mkuu naomba usidharau hili swali langu:- Hivi huwa nasikia kwenye maji kuna oxygen na ndio maana huwa kunakuwa na zile bubbles...swali langu:

Kama kwenye maji kuna oxygen mbona tukizama kwenye maji tunashindwa kupumua na tunakufa?
smply because we human beings do not have the specilised breathing system of which the fishes have called gills remember the fishes on water depend on oxygen too we human beings fall under the mamals hence one characteristic is that they breath through lungs
 
SWALI HESABU;;;
Hivi lita moja ni sawa na kilo ngapi? na tunaconverte vipi?
Kiongozi 1 litre = 1000mililitre
1milliliter = 1gram
hence, 1 litre = 1000gram
finally 1 litre = 1kg
 
Naona hamna watalam wa language hum maana swali langu hapo juu halijibiwi
 
Naomba anae jua malengo ya SUBJECT CLUB aniambie tafadhali
 
waliokufa + wagonjwa + wazima = jumla ya ng'ombe

waliokufa/jumla + wagonjwa/jumla + wazima/jumla = jumla/jumla

1/4 + 1/5 + 180/jumla = 1

180/jumla = 1 - 1/4 - 1/5

180/jumla = 20/20 - 5/20 - 4/20

180/jumla = (20 - 5 - 4)/20

180/jumla = 11/20

180*20 = 11*jumla

180*20/11 = jumla

jumla = 327.27272 (327+3/11) cows

Mzee Yagayaga alikuwa na ng'ombe 327+3/11 (327.2727)

Lakini robo (81+9/11) walikufa, kwa hiyo amebaki na ng'ombe 245+5/11 (245.4545)

Kuhama chuo kwa sasa ni ngumu sana ndugu yangu, isitoshe ndio mnaelekea kumaliza semester

waliokufa + wagonjwa + wazima = jumla ya ng'ombe

waliokufa/jumla + wagonjwa/jumla + wazima/jumla = jumla/jumla

1/4 + 1/5 + 180/jumla = 1

180/jumla = 1 - 1/4 - 1/5

180/jumla = 20/20 - 5/20 - 4/20

180/jumla = (20 - 5 - 4)/20

180/jumla = 11/20

180*20 = 11*jumla

180*20/11 = jumla

jumla = 327.27272 (327+3/11) cows

Mzee Yagayaga alikuwa na ng'ombe 327+3/11 (327.2727)

Lakini robo (81+9/11) walikufa, kwa hiyo amebaki na ng'ombe 245+5/11 (245.4545)
umekosea kuanza kwa ng'ombe waliokufa

simply iko hv

jumla ya ng'ombe hatujui tuseme x

waliokufa= 1/4x
wanaoumwa ni 1/5 ya waliobaki= (x-1/4x)*1/5
wazaima ni 180

kwa hyo

waliokufa + wagonjwa + wazima = x

1/4x+(x-1/4x)1/5+180= x

1/4x+x/5-x/20+180= x

zinazofanana ziende upande moja

180=x-x/4-x/5+x/20

180=(20x-5x-4x+x)/20

180= 12x/20

180=3x/5

180*5= 3x

900=3x
900/3=x

x= 300

kwa hiyo jumla ya ng'ome ni 300
 
umekosea kuanza kwa ng'ombe waliokufa

simply iko hv

jumla ya ng'ombe hatujui tuseme x

waliokufa= 1/4x
wanaoumwa ni 1/5 ya waliobaki= (x-1/4x)*1/5
wazaima ni 180

kwa hyo

waliokufa + wagonjwa + wazima = x

1/4x+(x-1/4x)1/5+180= x

1/4x+x/5-x/20+180= x

zinazofanana ziende upande moja

180=x-x/4-x/5+x/20

180=(20x-5x-4x+x)/20

180= 12x/20

180=3x/5

180*5= 3x

900=3x
900/3=x

x= 300

kwa hiyo jumla ya ng'ome ni 300

HIYO 300 NI JUMLA YA NG'OMBE WOTE MKUU, ILA SWALI LINAULIZA IDADI YA NG'OMBE AIONAO HUYO MZEE AMBAPO INA MAANA UTOE IDADI YA 75 WALIOKUFA... KWAHIYO BAKI NI ILE ILE WANAOANDIKA WAKUU WENGINE YA 225
 
Back
Top Bottom