Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie


Acha ubishi Mss hyo ndiyo Calculation yenyewe, usifanye maisha kuwa magumu
 
Pembetatu pacha, angle ya juu ndani ni thamani ya'y' na angle mbili za ndani chini ni pacha, pia angle ya nje upande wa pacha ni thamani ya'3y' tafuta thamani ya 'y'
Hapo assume pembe mija ya pacha ni x therefore y+x+x=180,hence y+2x=180,thus y=180-2x......eqn1



Umesema pembe ya njevya pacha ni 3y hivyo x+3y=180,recall eqn1 substitute value of y utapata x+3(180-2x) =180,kokotoa thamani ya x utapata - 5x+540=180,thus5x=360,then x=72,but y=180-2x, therefore y=180-144,so y=36
 
Wazo la Leo

Kama upo Moro town nitafute uhamie Tanga jiji mimi nije huko.sec.0713142568
 
Biology c , chemistry d , geog d naweza pata shule ya private CBG

Mimi mtaalam wa bios kidogo.
preparation ya oxygen ni rahisi na kujua kama itatosha ,wanapima lung capacity ya diver na kucalculate Po2 inayohitajika for intended period of time
 
Mimi mtaalam wa bios kidogo.
preparation ya oxygen ni rahisi na kujua kama itatosha ,wanapima lung capacity ya diver na kucalculate Po2 inayohitajika for intended period of time
Thanks mkuu,na hiyo Po2 ni initial ya nini?
 
Hongera jibu zuri Sana
GEOGRAPHY ALL TOPICS:FORM III

Kwa wanafunzi wa O level au QT,shule direct ni platform nzuri sana kwa wale wavivu wa kuandika notes

Nawashauri mfungue account kule.
 
english language form one mpaka form six ask me ntakujibu
Nomba msaada wa sentensi za nature hii.

The........, the.........

Example.

1. The higher you go, the cooler it becomes.

2. The older you grow, the wiser you will be.

3. The better you read, the easier you will pass your exams.

The apo inatumikaje mkuu?
 
unapovuta hewa unapunguza PRESSURE ndani ya kopo kwa hiyo PRESSURE ndani ya kopo itakuwa ndogo kuliko ATMOSPHERIC PRESSURE (nje ya kopo). na pressure = force/area. forcesr za nje zitakuwa kubwa kuliko forces za ndani na zitasababisha kopo ikunje.

Acha uongo, atmospheric pressure inahusiana vp na closed system??kama chupa ukiiacha wazi sawa, ila ukiziba na mdomo hakuna tena atmospheric pressure inayoexist.sema unatengeneza vacuum ndani ya chupa
 

Kiherehere tu hujui hesabu, jibu ni 300
 
Usimuite mburula, mkifanya hivyo hamjengi taswira nzuri kwa aliyeuliza swali. Kwann mtukane na mnaweza kueleweshana? Ni kweli ng'ombe wote ni 300. Lakini huoni umekosea kwasababu mwenye swali aliuliza baada ya 1/4 kufa walibaki wangapi?

hakuna sehemu muuliza swali alisema walibaki wangapi,kauliza mzee ana ng'ombe wangapi.ng'ombe akifa bado ni ng'ombe,habadiliki kuwa mbuzi.
 
hakuna sehemu muuliza swali alisema walibaki wangapi,kauliza mzee ana ng'ombe wangapi.ng'ombe akifa bado ni ng'ombe,habadiliki kuwa mbuzi.

Tatizo lako we mkali. Ila sawa kama ndo ulivyolielewa hilo swali. Usijali sana
 
Tatizo lako we mkali. Ila sawa kama ndo ulivyolielewa hilo swali. Usijali sana

yule jamaa alinitukana nilipomkosoa awali bila kuweka kokotoo ndio maana nimebehave hivyo,sry
 

ndio maana unaambiwa usiweke hisia kwenye namba.Bado hao ni kuku ila wafu,hesabu haitaki hisia wala uungwana.Ni reality tu.
 
kesha na hii hesabu,nataka solution.

y^2 -x^2 =7 (y square minus x square)
y + x = 7
kwa msaada zaidi,y=4,x=3,lete solution

Hili swali linahitaji nini? Naona majibu yako wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…