Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

habari gan humu jaman mwny links za past papers o level naomba. anisaidie
 
1.Daah first use dilution law then
2.find no. of moles of hcl from obtained morality
3.write balanced equation then use stoichometry to obtain no of moles of base
4...........daah long time sana aan
 
1.Daah first use dilution law then
2.find no. of moles of hcl from obtained morality
3.write balanced equation then use stoichometry to obtain no of moles of base
4...........daah long time sana aan
PAMOJA SAAAAANA MKUU...WABEJHA KULUMBHA NGHW'ANAWANE!
 
Kama uzi unavyojieleza, ningependa kujua wadudu waishio ardhini wanapataje hewa?
 
Soil component, hewa ni moja wapo. So hewa ipo kwenye udongo
 
kwenye udongo kuna hewa kuna maji. udongo unaposhindiliwa ni kwasababu kuna nafasi yenye matundu tundu ya hewa na maji.
 
Si kila mdudu anatumia hewa unayotumia wewe.... Kuna wengine Wanatumia Co2
 
Soma mada inayohusu soil. au chukua udongo kwenye kitu chochote zen mwaga mwaj mengi, halafu utapata jibu
 
Question
Why there is not one to one between spelling/orthographies and pronunciation in English language? Naombeni msahada wadau!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…