Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Hari zenu wakuuu
Naomba kupatiwa format yamitihani ya NECTA form 6 kwa masomo ya PCB....
nawaomba plz mwenyenayo anipatie... japo kwa ujumbe mfupi!
Ahsanteni
 
SWALI HESABU;;;
Hivi lita moja ni sawa na kilo ngapi? na tunaconverte vipi?
Inategemea ni lita ya kimiminika gani. Maana vimiminika tofauti vina density tofauti. Ila kama ni maji(pure), basi lita moja ni sawa na 1kg ila kama ni mafuta ya kupikia(kula) density yake ni ndogo kuliko ya maji hivyo basi lita moja ni sawa na 0.9kg
 
Kwanini tembo hazami kwenye maji ya tope kirahisi ikilinganishwa na binadamu?
 
Naomba anayeweza kunisaidia swali hili *How do we have to organize to transform man made resources to operational assets? *

Natanguliza shukrani
 
What's asset.?
Is the flowing of an economic entity .to gain something profits

Nimeishia hapo ngoja wajuzi waje
 
With vivid examples explain five depression in which lakes are formed

Explain stages in which delta are formed

State the condition necessary for delta formation


Nitashukuru nikijiwa Kwa usahihi!
Karibu.
 
cb1a3f9ff12959d0ff2eadf2e3992ba2.jpg
msaada swali hili
 
Kwenye maji oxygen inakuwa imedissolve, ili uivute lazima uvute na maji. Ili utenganishe Oxygen na maji lazima uwe na mechanism inayoruhusu diffusion. Samaki ana matamvua ambayo yanaruhusu diffusion ndio maana anaweza kupumua ndani ya maji ila binadamu hana matamvua(gills). Samaki anakunywa maji yaliyochanganyika na oxygen kupitia mdogo lakini anayaruhusu yatoke nje kupitia mashavu(matamvua/gills). Gills zina kuta nyembamba zinazoruhusu diffusion ya oxygen hivyo oxygen inabaki maji yanatoka nje.

swa mkuu kama umeelwa ngoja namimi nkuulize,kwanii sisi binadamu hatuwez kuvuta oksijen tukiwa ndani ya maji lakini samaki wanatumia oksijen mda wote wanaoishi humo ndani ya maji? naomba kuwakilisha
 
What is civil society organization? Linking with literature acces the key features of the "ideal type" (CSO). Using empirical examples compare how well CSOs in developed countries and CSOs in developing countries, compare and contrast to this "ideal type"
 
Back
Top Bottom