Abuu Abdurahman
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 1,448
- 1,790
Inategemea ni lita ya kimiminika gani. Maana vimiminika tofauti vina density tofauti. Ila kama ni maji(pure), basi lita moja ni sawa na 1kg ila kama ni mafuta ya kupikia(kula) density yake ni ndogo kuliko ya maji hivyo basi lita moja ni sawa na 0.9kgSWALI HESABU;;;
Hivi lita moja ni sawa na kilo ngapi? na tunaconverte vipi?
swa mkuu kama umeelwa ngoja namimi nkuulize,kwanii sisi binadamu hatuwez kuvuta oksijen tukiwa ndani ya maji lakini samaki wanatumia oksijen mda wote wanaoishi humo ndani ya maji? naomba kuwakilisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Assignment[emoji16]