Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

wadau mi naomben msaadakuna mdog wang an pass mark izo anawez kwenda chuo gani?. Civics D, Geography D, Bios D, Math D , Chemistry C , History C, Kiswahili C ,English C,. je anawez kupata chuo gan kizuri au advance anawez kwenda private kupitia CBG.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
samahani kama natoka nje ya mada kuna mdogo wangu ana dv.3 25 na anamatokeo history C kiswahili C english B civics D geography D biology D mathematics F. Je anaweza kwenda advance ya serikali akapangiwa shule?
 
Matokeo hayo kwa mtoto wa kike sawa atachaguliwa tena second selection ila kwa boy atasubili Sana labda chaguo la 3 maana serekal Sasa inafanya hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani wakuu, mimi ni mwanafunzi niliyehitimu form four mwaka jana2018.. nilikuwa naomba kuulizia kwamba... inawezekana mtu aliyepata Division one kupangiwa vyuo vya afya na Tamisemi.....ingawa ni yeye ndiye aliyechagua kwenye selform
 
Jamani naomba mnisadie
 
mkuu unaweza kwenda PCB kwa point 10 yaan DCC pia ukiwa na D ya namba kwa shule za advance za government??
 
The Discovery of Oil and Gas in Tanzania created a demand of Local Experties In Tanzania. Yet Govt can not afford to rely on experties

Required

Based on the Discovery of Oil and Gas In Tanzania. How can Government Devise a Plan for qualified Human resources in the Energy Sector?????
Sent using Jamii Forums mobile app
 
God created Man to control seen and unseen objects. Justify this statement. Swali la philosophy hilo wadau
 
Naomba kuuliza NINI KINASABABISHA MAJI KUPWA NA KUJAA?na YAKIJAA yanatokea wapi?na yakipwa yanakwenda wapi?msaada PLZ

Sent using Jamii Forums mobile app
Kinachosababisha ni Mambo mawili
1.mvutano baina ya dunia na mwez; hili hufahamik na wengi ipo hiv mwez huzunguk dunia ktk muhimili wake pale mwez unapokuwa mbali na dunia mvutano huwa mdogo na kusababisha maji kupwa na kinyume chake ni kweli
2.mvutano baina ya dunia na mwez; dunia huzunguk dunia kwenye pale unapokuwa kalib na mwez basi maji hujaa kwa kuwa mvutano huwa mkubwa na kinyume chake kweli

Angalizo
Mvutano baina ya mwez na dunia inamchango mdogo Sana kwenye Hilo ukilinganisha na mwez

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…