Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Walimu wa Physics, Chemistry and Mathematics naomba msaada.
Mwanangu anaesoma pre-form five amepewa list ya vitabu anunue lakini kwa upande uwezo mdogo hivyo nataka kununua kimoja katika kila somo. Niambieni kitabu kizuri katika kila somo.
PHYSICS:
1. Nelkon
2. Tom Duncan
3. Chandi
4. Roger Munchestel

CHEMISTRY:
1. Abort
2. Ramsdern
3. Chandi

MATHEMATICS:
1. Pure Maths 1&2
2. Core Maths
3. Chandi

Msaada tafadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kw mathematics hkuna ktabu kilichokamilika kila ki2 kw syllabus ya Tanzania.. Kila kitabu kina mapungufu. Km una uwezo nunua chand na pure kw p1

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini za muda huu, Nina swali hapa kwa wataalamu wa economics naombeni Msaada wenu
EXPLAIN ON ANY 5 SCHOOL OF THOUGHT OF ENTREPRENEURSHIP msaada wenu tafadhal

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kujua maana ya neno DHAIFU
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahah kwa mujibu wa KAMUSI YA KISWAHILI SANIFU, Toleo la Pili-2014 Ukurasa wa 62. DHAIFU(Kivumishi) 1. -enye kudhoofu; -enye unyonge; legevu 2. -enye ubaya; (nomino) "dhuli" likiwa na maana mbili 1.Mtu dhaifu au aliyeteseka 2.Jambo lenye kukatisha tamaa.
 
Back
Top Bottom