Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Chukua Chand zote..ipo Complete..Kwa Chem utahitaji Chand nyingi.. Kwa Physics Chand Mbili.. Mambo ya Roger Muncaster Achana nayo!
 
1.Nani alifanya mapinduzi ya zanziber..je ni John Okello au Abeid Karume? (ufafanuzi wa kina)
2.nitajie baraza la kwanza baada ya mapinduzi
1. Mapinduzi ya Zanzibar yaliongozwa na John Okello. Avoid Karume hakuhusika moja kwa moja kwenye mapinduzi isipokuwa mwalimu Nyerere alimweka madarakani baada ya zoezi la kumpindua sultani likiwa limekamilika.

John Okello (Jasusi kutoka Uganda aliyetumiwa na J.K. Nyerere kukamilisha adhma ya kuhitimisha utawala wa waarabu visiwani Zanzibar) alianzisha vuguvugu la kimapinduzi akiwa Pemba hatimaye unguja.

Wakati wa mapinduzi ndipo Karume na viongozi wengine wa kisiasa wa Zanzibar walipatwa na mshangao na hatimaye kuhamasisha wafuasi wao kumuunga Mkono Okello.

Kuyajua mengi kuhusu hali ya Zanzibar kabla na baada ya Mapinduzi tafadhali soma kitabu cha Yericko Nyerere " UJASUSI WA KIDOLA NA KIUCHUMI"
 
history njoo kwangu
1. Ni kwa jinsi gani ufaransa ilihusika kwenye mauaji ya halaiki ya Rwanda ( Rwanda Genocide) ya mwaka 1994 ?

2. Ni mikataba mingapi imesainiwa mpaka kuhalarisha Israel kuwa ni nchi huru?

3. Zipi ni sababu kuu za mgogoro wa mashariki ya kati?
 
For real problem solving:


 
Kwa bookeeping na commerce form 1-6 nitajibu. Accounting profesional from diploma upto 1st bachelor tutapeana mawazo/maoni/discusion n.k.
Ivi robot ni capital au labour?
Je na kama ni kimoja kati yao naomba ufafanuzi please comrade
 
Naomba kujua kwa undani kuhudu iyo course apo [emoji116][emoji116][emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…