Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,320
- 18,599
Sikumbuki vizuri maana nimetoka shule siku nyingi ila baadhi ya factors ni;GEOGRAPHY
Map reading
Qn. Describe the factors that have affected the contents of the area shown on the map.
Necta form four.
.........hili swali linaendaje.?
Sent using [Huawei P8]
Sawa mkuu Asante sana!Kwanza kabsa mwanafunzi utatakiwa uelezee nn maana ya fasihi then utuelezee maana ya siasa jamii baadae kwa kusimamia hoja ya siasa hubadilika kutokana namabadiliko ya kijamii utaeleza ni vipi fasihi simulizi ya Tanzania zimebadilika kutokana na siasa za tanzania.mfano kipindi Cha mfumo wa chama kimoja kulikuwa na nyimbo nyingi zilizokuwa zinasifu na kuelezea mfumo huo,kikaja kipindi Cha mapinduzi watunzi wengi wa fasihi simulizi walitunga kazi zao kuelezea faida na hasara za mapinduzi,saizi tuko kwenye siasa za vyama vingi watunzi wengi wanatunga kazi zao wakilenga kutangaza vyama vyao tahadhari;ukipewa maswali ya kichagua hili achana nalo
Sent using Jamii Forums mobile app
Like fluid mechanicsMsaada swali la 14,15 & 16 wadau mada ni uwiano mchanganyiko. Kwa wale wenye vitabu vya JIZATITI KATIKA HISABATI(mwandishi Hamza F. Napunda) maswali haya yanapatikana ukurasa wa 19. Majibu yake yapo tatizo njia sasa.View attachment 1401264
Sent using Jamii Forums mobile app
MwengeNaomba kujuzwa kwa Dar nitapata wp sehemu nzuri y tuitions kwa kidato cha 3&4 Na 5&6??
Pdf ?guys samahani naweza pata wapi vitabu vya chand katika mtindo wa pdf
Sasa nishapata cha kuwajibu wale wa "" utaeleza kwa sababu gani kuku akojoi""Hen like man other birds are adapted to life in area with scarcity of water. Therefore instead of releasing urea as end products of nitrogenous waste they tend to excrete uric acids that its excretion requires very little amount of water. In this way nitrogenous waste products are released in solid form instead of liquid urine..
Sent using Jamii Forums mobile app
Somo gnNaomba kujuzwa kwa Dar nitapata wp sehemu nzuri y tuitions kwa kidato cha 3&4 Na 5&6??
Temeke Education Center maeneo ya USALAMA CHANG'OMBENaomba kujuzwa kwa Dar nitapata wp sehemu nzuri y tuitions kwa kidato cha 3&4 Na 5&6??