Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Like fluid mechanics
Temeke Education Center maeneo ya USALAMA CHANG'OMBE
Contact:0784868256
Jamani naitaji msahada nimepata division 2 matokeo yangu
Kiswahili. c
Gograph. C
English . C
Biology . C
History . C
Literature . C
Civics. C
Math . F
Na division 2 point 21 ,, mwaka nilio maliza 2019 lakini post zimetoka nimechaguliwa chuo cha UWALIU ELIMU YA AWALI DIPLOMA
Naomba nisaidie nduguzangu ajira inatoa ajira
 
Duuuuh gvt imekuonea san, mbna wee ilibidi f5 tena comb zote za arts ulibalance, tatzo kweny self form mnajaza tofaut na choices, km wazaz wana uwezo nenda f5 ya private.
 
Daaaaaah! Wazazi uwezo hawana ila wengine wameshauli niende hukohuko
 
Nimetumiwa hili swali juzi, nisaidieni
A ship sails due west at 20km/h. It passes due south of point A at 10.00 Am. At 10.30 Am, the bearing of A from the ship is N45E. Find the distance of A from the Ship at both stated times.
Lipo kene Compuliti.
 
Jamani naitaji msahada nimepata division 2 matokeo yangu
Kiswahili. c
Gograph. C
English . C
Biology . C
History . C
Literature . C
Civics. C
Math . F
Na division 2 point 21 ,, mwaka nilio maliza 2019 lakini post zimetoka nimechaguliwa chuo cha UWALIU ELIMU YA AWALI DIPLOMA
Naomba nisaidie nduguzangu ajira inatoa ajira
Kama wana uwezo wa kukulipia ada ya chuo vyuo vya elimu serikali, washauri hata hiyo hela wakupelekee VETA ukajifunze electronics au mechanics ya magari. Usipotafakari utakuja kujuta ukubwani.
 
Naomba msaada nimehitim kidato Cha 6 mwaka huu 2020 na nimepata CHEMISTRY E, BIOLOGY E $ GEOGRAPHY D Naweza kwenda chuo kikuu chochote
 
Jaman mm nime Maliza form six mwakan 2019 sikuweza join chuo chochote japo niliomba mkopo ni kapata asilimia 100 Lakin Kuna matatizo yalijitokeza ya kawa nje na uwezo wangu wa kwenda school sasa nime kaa Sawa vp niki apply chuo na kuomba mkopo nitapewa accommodation?
 
Jamani naitaji msahada nimepata division 2 matokeo yangu
Kiswahili. c
Gograph. C
English . C
Biology . C
History . C
Literature . C
Civics. C
Math . F
Na division 2 point 21 ,, mwaka nilio maliza 2019 lakini post zimetoka nimechaguliwa chuo cha UWALIU ELIMU YA AWALI DIPLOMA
Naomba nisaidie nduguzangu ajira inatoa ajira
mmmh ndugu yangu usiende maana kule hakuna ishu yoyote utaenda kupoteza muda wenzako walienda 2014 na wakagraduate 2017 na wapo mtaani tu

ila nzuri kwa wasichana coz privet school na day care nyngi zinachukua wanawake tu
 
Naomba msaada nimehitim kidato Cha 6 mwaka huu 2020 na nimepata CHEMISTRY E, BIOLOGY E $ GEOGRAPHY D Naweza kwenda chuo kikuu chochote
*Points za division*
A=1, B=2, C=3, D=4, E=5, S=6, F=7.

*Points za kuingia university*
A=5, B=4, C=3, D=2, E=1, S=0.5, F=0.

Div I , 3–9
Div II, 10–12
Div III, 13–17
Div IV, 18 – 19
Div O, 20–21

*Tafsiri za points za kuingia chuo*
A, B, C,D na E = Principal pass
S= subsidiary
F= fail

*Ili MTU ajiunge na chuo kikuu*

AA, AB, AC, AD na AE
BB, BC, BD, na BE.
CC, CD na CE
DD.

*Niulize swali nitakujibu*
 
Usiombe upya, upo katika mfumo wa chuo ja TCU, chamsingi wasiliana na chuo chako ulichodahiliwa awali.
Jaman mm nime Maliza form six mwakan 2019 sikuweza join chuo chochote japo niliomba mkopo ni kapata asilimia 100 Lakin Kuna matatizo yalijitokeza ya kawa nje na uwezo wangu wa kwenda school sasa nime kaa Sawa vp niki apply chuo na kuomba mkopo nitapewa accommodation?
 
naombeni msaada wakubwa hiv kwamfano umeomba chuo cha private udaktari na ukafanikiwa kupata na mkopo nao ukapata asilimia 100% je serikali itaweza kukulipia itakulipia ada kiasi gan ili hio inayobaki uongezee mwenyewe maana kuna wengine wanasema itakulipia milion 3.1 wengine 1.8 kulingana na ada ya vyuo vya serikal kwaio hapo which is which msaada please
 
3.1, inayobaki kama ni 10m ni juu yako
 
Back
Top Bottom