jabarijoka
Member
- Jul 5, 2020
- 23
- 19
Nenda kasome certificate au diploma when necessary advanced level sio issueSamahani naomba kuuliza ni faida gani mtu anapata akienda advance na hasara gani anapata asipoenda advance?
Sent using Jamii Forums mobile app
Like fluid mechanics
Jamani naitaji msahada nimepata division 2 matokeo yanguTemeke Education Center maeneo ya USALAMA CHANG'OMBE
Contact:0784868256
Duuuuh gvt imekuonea san, mbna wee ilibidi f5 tena comb zote za arts ulibalance, tatzo kweny self form mnajaza tofaut na choices, km wazaz wana uwezo nenda f5 ya private.Jamani naitaji msahada nimepata division 2 matokeo yangu
Kiswahili. c
Gograph. C
English . C
Biology . C
History . C
Literature . C
Civics. C
Math . F
Na division 2 point 21 ,, mwaka nilio maliza 2019 lakini post zimetoka nimechaguliwa chuo cha UWALIU ELIMU YA AWALI DIPLOMA
Naomba nisaidie nduguzangu ajira inatoa ajira
Daaaaaah! Wazazi uwezo hawana ila wengine wameshauli niende hukohukoDuuuuh gvt imekuonea san, mbna wee ilibidi f5 tena comb zote za arts ulibalance, tatzo kweny self form mnajaza tofaut na choices, km wazaz wana uwezo nenda f5 ya private.
Anataka changamoto zinazoikumba fasii simulzNilikutana na hili swali nikapita mbio
"Fasihi simulizi ni sawa na kaptula iliyokosa mifuko" jadiri ukakasi wa dai hili
Twende kazi we mtaalamu
Anataka changamoto zinazoikumba fasii simulz
Duuuuh poleeh sana, nenda tyuuh huko chuo mdogo angu.Daaaaaah! Wazazi uwezo hawana ila wengine wameshauli niende hukohuko
Kama wana uwezo wa kukulipia ada ya chuo vyuo vya elimu serikali, washauri hata hiyo hela wakupelekee VETA ukajifunze electronics au mechanics ya magari. Usipotafakari utakuja kujuta ukubwani.Jamani naitaji msahada nimepata division 2 matokeo yangu
Kiswahili. c
Gograph. C
English . C
Biology . C
History . C
Literature . C
Civics. C
Math . F
Na division 2 point 21 ,, mwaka nilio maliza 2019 lakini post zimetoka nimechaguliwa chuo cha UWALIU ELIMU YA AWALI DIPLOMA
Naomba nisaidie nduguzangu ajira inatoa ajira
mmmh ndugu yangu usiende maana kule hakuna ishu yoyote utaenda kupoteza muda wenzako walienda 2014 na wakagraduate 2017 na wapo mtaani tuJamani naitaji msahada nimepata division 2 matokeo yangu
Kiswahili. c
Gograph. C
English . C
Biology . C
History . C
Literature . C
Civics. C
Math . F
Na division 2 point 21 ,, mwaka nilio maliza 2019 lakini post zimetoka nimechaguliwa chuo cha UWALIU ELIMU YA AWALI DIPLOMA
Naomba nisaidie nduguzangu ajira inatoa ajira
*Points za division*Naomba msaada nimehitim kidato Cha 6 mwaka huu 2020 na nimepata CHEMISTRY E, BIOLOGY E $ GEOGRAPHY D Naweza kwenda chuo kikuu chochote
Jaman mm nime Maliza form six mwakan 2019 sikuweza join chuo chochote japo niliomba mkopo ni kapata asilimia 100 Lakin Kuna matatizo yalijitokeza ya kawa nje na uwezo wangu wa kwenda school sasa nime kaa Sawa vp niki apply chuo na kuomba mkopo nitapewa accommodation?
3.1, inayobaki kama ni 10m ni juu yakonaombeni msaada wakubwa hiv kwamfano umeomba chuo cha private udaktari na ukafanikiwa kupata na mkopo nao ukapata asilimia 100% je serikali itaweza kukulipia itakulipia ada kiasi gan ili hio inayobaki uongezee mwenyewe maana kuna wengine wanasema itakulipia milion 3.1 wengine 1.8 kulingana na ada ya vyuo vya serikal kwaio hapo which is which msaada please