Naomba kusaidiwa kusolve swali hili, Mwanangu kaniletea limenishinda
Natanguliza shukran
View attachment 1750924
Sasa mimi nilijua wewe ndiyo mhusika,nilipenda nikusaidie ukafanye kisha ulete mrejesho,sasa mimi sijuia kama mwanao anaweza akachora sahihi kami nitakupa intro.
Maswali kama hayo kwanza unahitaji uwe na uwezo wa kutengeneza equation,sasa kama wewe naye hesabu ilikuwa shida univumilie.
Hiyo ni word problem sasa naenda kutengeneza equation,na ni "inequality' equation,mimi nimesoma zamani ila hesabu haikuwa shida
1.up to 25 cows ina weza kuwa pungufu ya 25 lakini haitakiwi kuzidi 25, i.e tutatumia less or equal to 25
2.let "X" be the numbaer of brown cow bought and "y" be the number of bleck cow bought.
Thus x+y<=25(please note kwenye computer <= namanisha less or equal na >= itaminisha greater or equal to
Hivyo equation ya kwanza ni
x + y<=25.........1
Anatakiwa kununua at leat 9 cows kwa kila aina i.e brown na black
Thus x>=9.........2( x is greater or equal to 9)
y>=9....................3 ( y is greater or equal to 9)
3.Jumla ya pesa anayotakiwa kutumia haitakiwi kuzidi Tsh 1,580,000 ila inaweza kupungua(inequality)
equation itahusisha bei ya ng'ombe unazidisha na idadi ya ngombe utakaonunua kwa kila aina
50,000x(brown) + 80,000y(black)<=1,580,000.................4
50,000x+ 80,000y<=1,580,000 .........................4
Aanatakiwa achore graphy inaoonyesha hizo equation nne,anakuwa anashade the unrequired part,akikamilisha atapata kitu kinachoitwa "optimum points" kama sijasahau kwani ni miaka mingi.
Hizo optimu points tutazitumia kwenye equation ya profit kujua zipi zitatupa profit kubwa
Equation ya profit ni
5,000x +6,000y................................5
Hizo optimum tutaweka hapo juu tuone value zipi za X na Y zinatupa jibu kubwa,kumbuka X itawakilisha brown na Y black cows.
Usiponielewa hapa utapata shida kumuelewa mwingine.Pole kwa kuchelewa kupata msaada,lakini wataalam wapo
Regards
Aqua