jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
Ikiwa microscope,inauwezo wa kupima wingi wa vidudu vya malaria kwenye dam ya mwanadamu kwa kutoa sample nje ya mwili wa binadamu.
je hii inamaaanisha kwamba sample iliyotolewa nje na kukutwa na malaria mfano 2,ndo ina maanisha kuwa huyo mtu hatoweza kuwa na malria tena sababu wale wadudu wametolewa kwenye sample/microscope ilowekwa damu, au mgojwa huyu anakuwa na wadudu wengi zaidi sababu waliotolewa nj wachache tu?