jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
Mimi sio daktari lakini swali la kitoto sana. per sample ya blood withdrawn kuna average au chance ya kukuta wadudu wawili.Ikiwa microscope,inauwezo wa kupima wingi wa vidudu vya malaria kwenye dam ya mwanadamu kwa kutoa sample nje ya mwili wa binadamu.
je hii inamaaanisha kwamba sample iliyotolewa nje na kukutwa na malaria mfano 2,ndo ina maanisha kuwa huyo mtu hatoweza kuwa na malria tena sababu wale wadudu wametolewa kwenye sample/microscope ilowekwa damu, au mgojwa huyu anakuwa na wadudu wengi zaidi sababu waliotolewa nj wachache tu?
kinachopimwa ni concentration of plasmodium katka blood.Ikiwa microscope,inauwezo wa kupima wingi wa vidudu vya malaria kwenye dam ya mwanadamu kwa kutoa sample nje ya mwili wa binadamu.
je hii inamaaanisha kwamba sample iliyotolewa nje na kukutwa na malaria mfano 2,ndo ina maanisha kuwa huyo mtu hatoweza kuwa na malria tena sababu wale wadudu wametolewa kwenye sample/microscope ilowekwa damu, au mgojwa huyu anakuwa na wadudu wengi zaidi sababu waliotolewa nj wachache tu?
Hili ni swali la moja kwa mojaSwali la kwanza (1) umri wa mama ni miaka 37 na umri wa binti yake ni miaka 5.Je baada ya miaka mingapi umri wa mama utakuwa mara tano (5) ya umri wa binti yake? Swali la pili(2)
View attachment 2174037
Swali lako la pili hali onekani vizuriSwali la kwanza (1) umri wa mama ni miaka 37 na umri wa binti yake ni miaka 5.Je baada ya miaka mingapi umri wa mama utakuwa mara tano (5) ya umri wa binti yake? Swali la pili(2)
View attachment 2174037
Kuna mistake kubwa kwa jinsi ulivyo uliza hili swali. Hapo kuna matrix, lakini umeandika ni sawasawa na 0 hiyo ni zero matrix ama ni numerical zero?Msaada wa hil swaliiView attachment 2123489
Bwana mdogo, hebu changamsha akili...., vitu viko waziMsaada wa hili swali la chemistry diploma level View attachment 2199050
Ni rahisi kwa kutumia Numerical methods na si kufosi application za log na kuvunja sheria za Mathematics ili upate x=3.Solve for x
3^X=9X
Lita moja ya kitu gani? OK. Mass = Volume x DensitySWALI HESABU
Hivi lita moja ni sawa na kilo ngapi? na tunaconverte vipi?
With the aid of Genetz cross, explain in details the concept of Lethal genesWakuu katika kupitia nyuzi mbalimbali humu nimegundua hili jukwaa lina wanafunzi wengi sana hasa kidato cha 5 au chini ya hapo pia wanavyuo
Hivyo basi ni vyema walimu na watu wenye uzoefu tuwasaidie hawa watu ili wafanye vyema ktk masomo yao kwa wenye nia njema, jukwaa hili ni muhimu na tukilitumia tukainua ufaulu wa ndugu zetu tutaongeza Tanzania njema yenye wasomi bora.
karibuni, mimi tupia swali la linguistics/language 1&2 (kwa A-level) au english kwa O - level na Geography.
Walimu wazuri na Wataalam wengine watajitajitokeza ukirusha swali lolote.
In short, Lethal genes are genes(Hereditary traits)that lead to the extinction of a species. The specie can't survive irregardless of favourable conditions.With the aid of Genetz cross, explain in details the concept of Lethal genes