Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Hi naweza soma diplomasia na nikapata ajira nzur au niende geology (hgl division 2 ya point 10)
 
CULTURAL PERSPECTIVES ON THE INCLUSION OF CHILDREN WITH DISABILITIES IN EDUCATION SETTINGS IN TANZANIA. OBSERVATIONS FROM IRINGA REGION

Naweza kupata usaidizi wa general objective pamoja na main objectiv za hii title ya reseach
 
Naombeni ufafanuzi kuhus plc ni vigezo gan natakiwa niwe navyo niweze soma iyo course na Ina vip kwe ajira Ina solo naombeni msaada wakubwa
 
Naombeni msaada wakubwa nakaribia kufanya mtihan wa kujiunga na veta sas sijajua ni nin natakiwa nijiandaaje nacho kwa anaejua msaada wa kunijuza
 
Wenye ma complication ya life science nikimaanisha Biological science, Botany,Zoology na form five na form six Biology wanione.Waliopaliwa kabisa wanaona kunashida kwenye hayo madude wanione wayaone maisha kwenye mwanga bora kabisa hawatajuta kunifahamu.Karibu sana

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Je nisahihi mwanafunzi kubetia fedha ya boom
Sio sahihi hata kidogo. Ukiliwa fedha za boom ambazo labda ulipaswa kulipa karo na ukashindwa kupata fedha nyingine ya kulipia karo hutaruhusiwa kufanya mitihani. Ukiwa chuoni, hata ukishindwa kufanya TEST tu bila sababu za msingi, unakuwa umejifukuzisha chuo automatically.
 
Habari za muda huu Ndugu zangu.
Naomba kusaidiwa kitu hiki kwa anayejua .
Aniambie viongozi wa Tatu wa serikali ya Tanzania waliwahi au wamewahi kwenda kinyume na codes of ethics .Naombeni majibu please jaman
 
Ninaomba msaada kwa anyejua,

Find the values of alpha that maximize the curvature of e^(alpha*x) at x=0. Also find the radius and center of curvature

natanguliza shukurani
 
Back
Top Bottom