Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Nin tofauti ya kuonyesha na kuonesha?,Nin tofauti ya kujumlish a na kuongeza?

Sent using Iphone 7+
 
swali langu: kwa nini elimu ya MTANZANIA haimsaidii ...badala yake tumekuwa tunahangaika kutafuta MABWANA wa kuitumikia ELIMU yetu na si SISI kama ambavyo dhana ya elimu inavotaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naombeni nisaidieni kunielewesha kwa kiswahili na upana kidogo maana ya HABIT OF MAKING EXCUSES
hapo anamaanisha kuna watu wao ni kuomba msamaha tu yaani hukosea mambo mara kwa mara wakitegemea msamaha
 
Mimi Naombeni mnisaidie ntapataje vitabu vya saikolojia ya malezi ya watoto mtandaoni nkipatiwa orodha ya vitabu hivyo ntafurahi zaidi
 
humu wote siasa na history.
sln
y+180-3y +180-3y=180
y+(180-3y)2=180
y+360-6y=180
y-6y=180-360
-5y=-180
-5y/-5=-180/-5
y=36
. ' .y=36.


Umezunguka sana,

Km pembe ya juu ni y na ya nje kwenye pacha ni 3y basi zile pacha moja ni 3y-y=2y,kwa hyo kwa pembe za ndani ni y+2y+2y=180
5y=180,
Y=36
 
Wakuu katika kupitia nyuzi mbalimbali humu nimegundua hili jukwaa lina wanafunzi wengi sana hasa kidato cha 5 au chini ya hapo pia wanavyuo

Hivyo basi ni vyema walimu na watu wenye uzoefu tuwasaidie hawa watu ili wafanye vyema ktk masomo yao kwa wenye nia njema, jukwaa hili ni muhimu na tukilitumia tukainua ufaulu wa ndugu zetu tutaongeza Tanzania njema yenye wasomi bora.

karibuni, mimi tupia swali la linguistics/language 1&2 (kwa A-level) au english kwa O - level na Geography.

Walimu wazuri na Wataalam wengine watajitajitokeza ukirusha swali lolote.
What are the impacts of science and technology on oral literature. Help me please!!!
 
nilikuwa naomba kujua kuhusu hii course ya Automobile engineering , soko lake hapa tanzania likoje ???
 
Nisaidieni hiliii"" how do the society try to utilize scarce resources to satisfy their economy
 
Back
Top Bottom