Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Kama mtaala wa darasa la Tano shule ya msingi kwenye somo la Stadi za Kazi umebadilika basi tujuzane tu.Hizo ni stadi za maisha sio stadi za kazi....!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mtaala wa darasa la Tano shule ya msingi kwenye somo la Stadi za Kazi umebadilika basi tujuzane tu.Hizo ni stadi za maisha sio stadi za kazi....!!
Hope ulipata msaada muda sana sijapita hukuAdvance English nashindwa kuandik essay different between language learning and language acqusition
Ki ya kwanza ni kudogodisha..ya pili kuinyesha njeo au wakati....m nafasi ya mtendewaPoleni Na Majukumu Wandg, Swali Langu!! Naomba Msaada Juu Ya Kazi Za Mofimu Zilizo Katika Mabano Ya Maneno Haya! 1. Waliompiga (m) 2. Kikikukata (ki Zote Na ku) 3. Waliojipiga (o Na Ji)
naombeni msaada ni ipi kozi nzuri kati ya hizi:
bacherol of Laboratory Science(D I T)
bacherol of science in General
bachelor of science ni chemistry
chemical & processing engineering
Mkuu unafikiri chemical and process engineering ni kuchanganya machemical...una ngapi tuanzie hapo kwanzanaombeni msaada ni ipi kozi nzuri kati ya hizi:
bacherol of Laboratory Science(D I T)
bacherol of science in General
bachelor of science ni chemistry
chemical & processing engineering
Hapo mzee kaz nzri inategemea na performance akonaombeni msaada ni ipi kozi nzuri kati ya hizi:
bacherol of Laboratory Science(D I T)
bacherol of science in General
bachelor of science ni chemistry
chemical & processing engineering
mkuu nilimanisha kozi sio kaziHapo mzee kaz nzri inategemea na performance ako
ahsante sana kiongozi.Bachelor of laboratory science
mkuu nina ordinary diploma ya lab technology(MUST)Mkuu unafikiri chemical and process engineering ni kuchanganya machemical...una ngapi tuanzie hapo kwanza
Bsc in chemistry na lab science zte kali kiongozi japo mkemia ana uwanja mpana kulko nyingne izonaombeni msaada ni ipi kozi nzuri kati ya hizi:
bacherol of Laboratory Science(D I T)
bacherol of science in General
bachelor of science ni chemistry
chemical & processing engineering