Coza Mhando
Senior Member
- Dec 14, 2010
- 194
- 7
Wazee wa Bukoba wanaifahamu hii story ya huyu mwandishi wa habari kutoka Rwanda.
Mwaka 1996 baada ya kesi ya mauaji ya Kimbari kupamba moto,inasemekana huyu mdau alikimbilia Tanzania kuendelea na shughuli zake kama kawaida.
Kesi ilivyopamba moto Kabendera shinani siku moja alichukua usafiri wake mpaka maeneo ya custom Bukoba akapaki mahali hapohapo maeneo ya bandari halafu yeye akajitupa kwenye kina kirefu cha maji na umauti ukampata .
Ninachojua kabendera alikuwa Mtanzania akahamia Rwanda na kuachana na Uraia wa Tz,lakini akarudi kama mkimbizi. kilichomua ni CCM maana yeye ndiye alipeleka habari BBC kuwa Bukoba mjini CUF imeshinda. CCM wakamzushia jambo na wakaaidi kumunganisha na mauaji ya Rwanda na kumfungulia kesi ya kuvuruga uchaguzi wa Tanzania, alipoona hivyo akajiuaKabendera alifariki mwaka 1995. Katika uchaguzi wa Oktoba alikuwa amejiandikisha kama raia na alikuwa na kadi ya CCM na kuweza kupiga kura. Hizo habari zilipofumka akajitosa ziwani Victoria. Mkewe nadhani bado yuko Bukoba.
Ukitukana ni sawa hata usipotukana ni sawaaother scrap, nani anataka kuujua huu upumbavu. foolish
Mauaji ya Kimberly? Aisee hebu acha kujimwambafai na kizungu cha ugoko.....Mwaka 1996 baada ya kesi ya mauaji ya Kimberly...
Kwa hiyo ndiyo mnataka kuhalalisha kesi mliyompa ya uhujumu uchumi na kutakatisha fedha?
Andika na cha kwakoMauaji ya Kimberly? Aisee hebu acha kujimwambafai na kizungu cha ugoko.
Hujuhi kilichopelekea kifo chake, acha kuandika pumba,Wazee wa Bukoba wanaifahamu hii story ya huyu mwandishi wa habari kutoka Rwanda.
Mwaka 1996 baada ya kesi ya mauaji ya Kimberly kupamba moto,inasemekana huyu mdau alikimbilia Tanzania kuendelea na shughuli zake kama kawaida.
Kesi ilivyopamba moto Kabendera shinani siku moja alichukua usafiri wake mpaka maeneo ya custom bukoba akapaki mahali hapohapo maeneo ya bandari halafu yeye akajitupa kwenye kina kirefu cha maji na umauti ukampata .
HahahaaaaaaMauaji ya Kimberly? Aisee hebu acha kujimwambafai na kizungu cha ugoko.
Hiyo ni historia tu kama historia zingine.sasas hapa sijaelewa unataka kutuma ujumbe gani kwa jamii?