Mwanahabari Kabendera Shinani aliyejiua kwa kujitosa ziwa Victoria, Bukoba

Hujuhi kilichopelekea kifo chake, acha kuandika pumba,
kuwa na asili ya nchi fulani haimanishi wewe ni raia wa nchi hiyo, maasai wapo Kenya na TZ, Je sokoine na Lowasa walikuwa wakenya? Pambaf

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kudanganya,
Mimi ninaelewa Kabendera shinani alikuwa mtangazaji wa Radio rwanda swahili.

Kipindi hicho tunamsikiliza saa kumi na moja jioni.

Baada ya habyarimana kuuwawa na RPF kuchukuwa utawala chini ya kagame,
Huyu alikimbilia Bukoba na kuendelea kuripoti kama free journalist.

Alipojikuta akiwa listed na akitajwa kama mmoja wa watu waliotakiwa na mahakama akihusishwa na mauaji ya kimbari huko kwao, ndio alipofikia uamuzi wa kujiuwa.

Lakini ni baada ya kukosa nchi ya kumpokea.

Ila pia kulikuwa na utata juu ya kifo chake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee siku hizi humu content ni kiduchu, maana hata hii imepata wachangiaji.
 
Hapana alijiua baada ya kukamatwa mjini Bukoba akiji andikisha kuwa mpigakura .Alifunguliwa mjini Bukoba.Akiwa kwenye dhamana ndo akajitupa ziwani

Back
Top Bottom