Mwanahabari Kabendera Shinani aliyejiua kwa kujitosa ziwa Victoria, Bukoba

Hio story ya mauaji ya kimbari ni uongo:

Monday, 27 November, 2000, 17:29 GMT

BBC TANZANIA CORRESPONDENT DIES

The BBC correspondent in western Tanzania, Shinani Kabendera, has died.

He drowned in Lake Victoria; a police spokesman said he'd committed suicide.

Mr Kabendera had worked for the BBC for nearly ten years, reporting from Tanzania and Rwanda.

A BBC spokesman described him as an energetic and resourceful journalist who would be greatly missed by colleagues and listeners all over Africa.

Last week, Mr Kabendera was charged with voting illegally in Tanzanian elections following allegations that he was not Tanzanian.

He denied the charge.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
This is getting interesting...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyanzo vya ndani Sana vinasema chanzo kikubwa ni hicho nilichokitaja
 
Vyanzo vya ndani Sana vinasema chanzo kikubwa ni hicho nilichokitaja
 
Nadhani mleta uzi jaribu kuwaelewa hadhira wako - ukiona wengi wanashindwa kupata connection ya ulichoandika basi kazi ya sanaa yako ya kuumba maneno inakuwa imeshindwa

Hivyo, nashauri utoe maelezo ya ufafanuzi kwa andiko hilo - vinginevyo sioni kama ni busara kuendelea kurushiana maneno na wasomaji wako.
 
Hakuna haja yakueleza ya Kabendela shinani aliyejitupa majini hana uhusiano wowote na Erick Kabendela kama alisingiziwa kwa hilo that is sadism
 
Hii Kimberly ni mtaa huko Kigali Rwanda?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mleta mada ana maanisha jiwe atajirusha kwenye kina kirefu cha maji na kufa kabisa hapo kisiwani rubondo!!!
 
Ki- mbari wewe unaandika Kimberly? Hii issue umelishwa tangopori.Kabendera alizaliwa na kukulia Katoro na kyamulaile kagera na akasoma na kufanyakazi kama reporter wa BBC akiwa Bukoba huko Rwanda alienda baada ya mauaji ya kimbari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo Nini? Tanganyika ya German ilikuwa Ni pamoja na Burundi na Rwanda. Yale majimbo nane ni pamoja na hayo. Huku pwani wajerumani walinunua kutka kwa sultan wa Zanzibar. Ilikuwa Ni mail 16 kutoka ufukoni mwa bahari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…