Mwanahabari Kabendera Shinani aliyejiua kwa kujitosa ziwa Victoria, Bukoba

Kabendera Shinani alidaiwa kuukana uraia wa Tanzania baada ya RPF kutwaa nchi Rwanda hivyo akahamia huko baadaye akawa mkosoaji wa Paka,Rwanda akafukuzwa akarudi Tanzania kama alivyokuwa akiishi mwanzo na alikuwa pia mkosoaji wa sera za serikali ya che Nkapa.Mwaka 2000 akakamatwa anajiandikisha kuwa mpigakura mjini Bukoba akafunguliwa kesi kosa hilo akapata dhamana.Ikadaiwa kwamba siku ya kifo chake alipaki gari lake pale kastamu bandarini akajirusha ziwani,wavuvi walimuona ila wakidhan anaogelea.Baadaye ikagundulika amekufa maji.Kwenye gari yake aliacha ujumbe kwamba ,Rwanda wamenikataa na Tanzania hawanitaki .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
U Unamaanisha mtu aitwaye Kabendera Shinani au unaeleza kuwa Kabendera shinani alikuwa Mnyarwanda? Uandishi wako una walakini.
 
Hayo mauaji ya KIMBERLY yalitokea lini huko Rwanda.
 
Mleta mada mimi nakuelewa vizuri sana, Shinani Kabendera alikua mwandishi wa kinyarwanda, kuna kipindi alikimbilia Tanzania, na hata sasa kuna mtoto wake wa kike ni mtangazaji huko Rwanda, anaitwa Tijara Kabendera.

Kwakifupi mikoa ya Kagera, Geita na Kigoma ni changamoto kwa nchi hii, kuna mamluki wengi mno na wanapenya kwenye maeneo nyeti sana ya nchi yetu.
 
Afadhali mkuu wewe umenielewa,
 
Afadhali mkuu wewe umenielewa,
 

Angalau kidogo umesogea penye ukweli ila bado kidogo
 

Mnaandika ujinga kutaka kum-discredit Kabendera na mateso mnayompa

Msiba wa mama yake umekua msiba wa taifa leo

Ila kuna mapunga wa Lumumba wanaandika makala za kipumbavu humu leo kudiscredit huu msiba

Aisee nyie jamaa sijui ni watu wa namna gani?
 
Huo ni mtazamo wako,sio lazima kila mtu aone kama unavyoona wewe,au unavyohisi wewe.
Mnaandika ujinga kutaka kum-discredit Kabendera na mateso mnayompa

Msiba wa mama yake umekua msiba wa taifa leo

Ila kuna mapunga wa Lumumba wanaandika makala za kipumbavu humu leo kudiscredit huu msiba

Aisee nyie jamaa sijui ni watu wa namna gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…