Acha kudanganya,
Mimi ninaelewa Kabendera shinani alikuwa mtangazaji wa Radio rwanda swahili.
Kipindi hicho tunamsikiliza saa kumi na moja jioni.
Baada ya habyarimana kuuwawa na RPF kuchukuwa utawala chini ya kagame,
Huyu alikimbilia Bukoba na kuendelea kuripoti kama free journalist.
Alipojikuta akiwa listed na akitajwa kama mmoja wa watu waliotakiwa na mahakama akihusishwa na mauaji ya kimbari huko kwao, ndio alipofikia uamuzi wa kujiuwa.
Lakini ni baada ya kukosa nchi ya kumpokea.
Ila pia kulikuwa na utata juu ya kifo chake.
Sent using
Jamii Forums mobile app