TANZIA Mwanahabari Mkinga Mkinga afariki dunia

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
HABARI MBAYA

Mwanahabari na mdau wa maendeleo nchini, Mkinga Mkinga amefariki Dunia Asibuhi ya leo Hospital alipokuwa akipatiwa matibabu baada ya kuugua ghafla siku chache zilizopita na kukimbizwa MOI.

Taarifa zaidi tutapatiwa

Mungu ametoa, na Mungu ametwaa, Apumzike kwa amani

 
Daaah Ndugu Zangu Kifo Ni Fumbo Kubwa Sana Kwa Mwanadamu Aiseeeh [emoji120][emoji120]
 
Huyu mkinga ni yule renatus mkinga au mkinga mwingine. Nasemea yule renatus mkinga ambae alitimuliwagaa uhamiaji
Umekurupuka Huyu sio yule Mkinga w NASACO ambae nae amefariki Hivi karibuni.
Yule alikuwa mzee kiumri kwa huyu na pia hakuwahi kuwa uhamiaji.
Mungu azilaze ROHO zao Mahali Pema Peponi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…