BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Inawezekana kuwa na COVID maana imerudi kwa kasi kubwa na idadi ya vifo imeanza kuongezeka tena. Mwenyezi Mungu atunusuru.
Ghafla - haya mambo ni fikirishi sana.
Apumzike kwa amani mja wake mola huyu.