Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Mchaga wa Machame, lakini ni rika la Jenerali Ulimwengu, Salva Rweyemamu aliyekuwa mkurugenzi wa mawasiliano ikulu enzi za JK, ndio washkaji zake.Kama mmeamua kuweka wasifu wake ni vizuri pia kujua mwaka na mahali alipozaliwa, kujua umri wa marahemu ni muhimu hata kwenye takwimu tu, ..
Ni kweli kabisa ni mtu wa machame alikuwa mtu mzuri kwa upande wangu. Nilikutana naye kipindi nasoma KCMC alinisaidia sana na alinilipia ada kwa kipindi chote nasoma mpaka namaliza chuo. RIP Dr shooNi Mchaga wa Machame, lakini ni rika la Jenerali Ulimwengu, Salva Rweyemamu aliyekuwa mkurugenzi wa mawasiliano ikulu enzi za JK, ndio washkaji zake.
Manyerere Jackton yupo humu anaweza kumuelezea deeply.