GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwani iyo picha iko wakoKichwa chake cha Habari cha hiyo Habari yake kinasema...." TFF yaja ya Sheria mpya wale watakaovaa vibaya, hovyp hovyo na kuonekana Wachafu hawatoruhusiwa Kuingia Uwanjani au Kukaa katika Benchi la Wachezaji ".
Je Saleh Ally ( Salehe Jembe ) kuiweka Picha hiyo ya Kocha wa Yanga SC Mwinyi Zahera ametuma Ujumbe gani wa Kificho kwa Sisi Wasomaji wake? Na kwanini katika Picha zote za Makocha mbalimbali wa Ligi Kuu nchini Yeye ameona tu Kocha Mkuu wa Yanga SC ndiyo anastahili kuwekwa katika hiyo taarifa yake?
Hivi huyu Mwandishi wa Habari na Mchambuzi wa Soka anawajua vizuri Yanga SC au anawasikia tu pale Wakikwazwa?
Hiyo picha niya Zahera kweli au imeeditiwa.?... Kama ni yake tatizo nini?
Ulitaka aweke ya nani?
Zahera ni kocha na habari inahusu makocha taabu iko wapi?
Nimekusoma kuliko ulivyonivaa mkuu.. ndio maana nikauliza shida ni nini kama ujumbe umefika.Na Wewe ni lini umenza kuwa Juha hivi? Swali lipo wazi tu na linahitaji Logic kubwa kulielewa kwamba ni kwanini Makocha wapo wengi lakini Yeye aliyemuona ni Zahera? Hivi ukiwa mfuatiliaji wa mambo hujawahi Kusikia sehemu mbalimbali kuwa Watu wanalalamika hadi Kuponda aina ya Uvaaji wa Kishamba na wa kurudia rudia tu Nguo yake hiyo hiyo? Hivi ukiwa na Akili za Kutosha huwezi kujua kuwa hapo Mwandishi huyo amemtumia Zahera kama mfano hai wa hiyo Hoja / Taarifa yake? Huko Mashuleni na Vyuoni huwa mnaenda Kufanya nini kama hamna Akili hata ya Kugundua tu haya mambo mepesi mepesi?
Nimekusoma kuliko ulivyonivaa mkuu.. ndio maana nikauliza shida ni nini kama ujumbe umefika.
Hiyo picha ni mfano wa mavazi yanayoongelewa, kwa iyo hakuna tabu hapo.
Hautakuwa wa kwanza endelea.Bado unahitaji niendelee Kukudharau au?
Anajifanya mjuaji mjuaji sana huyu genta watu tunamchora tu kila kitu anajua yy!Hautakuwa wa kwanza endelea.
Mkuu hiyo Township rollers ipo Botswana!Yanga mlikosea sana kutokumuomba Rais wa South alipokuwa nchini kwenye mambo yake ya SADC ili akawafanyie robbing kwa Township rollers waweze kuwaonea huruma msitolewa round ya kwanza tu.
Sasa onyesheni huo ubingwa wenu wa kihistoria.
Hautakuwa wa kwanza endelea.
Mwinyi zahera ndio kocha mchafu na anayevaa hovyo hovyo kuliko kocha yeyote tz, SASA ulitaka aweke picha ya Nani??Kichwa chake cha Habari cha hiyo Habari yake kinasema...." TFF yaja ya Sheria mpya wale watakaovaa vibaya, hovyp hovyo na kuonekana Wachafu hawatoruhusiwa Kuingia Uwanjani au Kukaa katika Benchi la Wachezaji ".
Je Saleh Ally ( Salehe Jembe ) kuiweka Picha hiyo ya Kocha wa Yanga SC Mwinyi Zahera ametuma Ujumbe gani wa Kificho kwa Sisi Wasomaji wake? Na kwanini katika Picha zote za Makocha mbalimbali wa Ligi Kuu nchini Yeye ameona tu Kocha Mkuu wa Yanga SC ndiyo anastahili kuwekwa katika hiyo taarifa yake?
Hivi huyu Mwandishi wa Habari na Mchambuzi wa Soka anawajua vizuri Yanga SC au anawasikia tu pale Wakikwazwa?
Chuki mbaya sana unajikuta unamchukia mtu hata km hakujui na hana msaada maishani mwako.Mwinyi zahera ndio kocha mchafu na anayevaa hovyo hovyo kuliko kocha yeyote tz, SASA ulitaka aweke picha ya Nani??
Picha inasadifu ukweli
Basi punguza munkari kakusikia siku nyingine atamuweka mchebeKichwa chake cha Habari cha hiyo Habari yake kinasema...." TFF yaja ya Sheria mpya wale watakaovaa vibaya, hovyp hovyo na kuonekana Wachafu hawatoruhusiwa Kuingia Uwanjani au Kukaa katika Benchi la Wachezaji ".
Je Saleh Ally ( Salehe Jembe ) kuiweka Picha hiyo ya Kocha wa Yanga SC Mwinyi Zahera ametuma Ujumbe gani wa Kificho kwa Sisi Wasomaji wake? Na kwanini katika Picha zote za Makocha mbalimbali wa Ligi Kuu nchini Yeye ameona tu Kocha Mkuu wa Yanga SC ndiyo anastahili kuwekwa katika hiyo taarifa yake?
Hivi huyu Mwandishi wa Habari na Mchambuzi wa Soka anawajua vizuri Yanga SC au anawasikia tu pale Wakikwazwa?
Uzuri mwenyewe pia ni yangaKichwa chake cha Habari cha hiyo Habari yake kinasema...." TFF yaja ya Sheria mpya wale watakaovaa vibaya, hovyp hovyo na kuonekana Wachafu hawatoruhusiwa Kuingia Uwanjani au Kukaa katika Benchi la Wachezaji ".
Je Saleh Ally ( Salehe Jembe ) kuiweka Picha hiyo ya Kocha wa Yanga SC Mwinyi Zahera ametuma Ujumbe gani wa Kificho kwa Sisi Wasomaji wake? Na kwanini katika Picha zote za Makocha mbalimbali wa Ligi Kuu nchini Yeye ameona tu Kocha Mkuu wa Yanga SC ndiyo anastahili kuwekwa katika hiyo taarifa yake?
Hivi huyu Mwandishi wa Habari na Mchambuzi wa Soka anawajua vizuri Yanga SC au anawasikia tu pale Wakikwazwa?
Nadhani umeonaYanga mlikosea sana kutokumuomba Rais wa South alipokuwa nchini kwenye mambo yake ya SADC ili akawafanyie robbing kwa Township rollers waweze kuwaonea huruma msitolewa round ya kwanza tu.
Sasa onyesheni huo ubingwa wenu wa kihistoria.