Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Waafrika ndiyo akili zetu hiziMwinyi zahera ndio kocha mchafu na anayevaa hovyo hovyo kuliko kocha yeyote tz, SASA ulitaka aweke picha ya Nani??
Picha inasadifu ukweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waafrika ndiyo akili zetu hiziMwinyi zahera ndio kocha mchafu na anayevaa hovyo hovyo kuliko kocha yeyote tz, SASA ulitaka aweke picha ya Nani??
Picha inasadifu ukweli
Ni ujinga tu,kuna kocha alikuwepo Yanga simkumbuki jina ila ni mserbia alikuwa anavaa shati moja tu la blue msimu mzima,alipoulizwa akasema ndiyo nguo ya bahati kwako,so kila mtu anamaamuzi yake ila Tz umbea mwingiNa Wewe ni lini umenza kuwa Juha hivi? Swali lipo wazi tu na linahitaji Logic kubwa kulielewa kwamba ni kwanini Makocha wapo wengi lakini Yeye aliyemuona ni Zahera? Hivi ukiwa mfuatiliaji wa mambo hujawahi Kusikia sehemu mbalimbali kuwa Watu wanalalamika hadi Kuponda aina ya Uvaaji wa Kishamba na wa kurudia rudia tu Nguo yake hiyo hiyo? Hivi ukiwa na Akili za Kutosha huwezi kujua kuwa hapo Mwandishi huyo amemtumia Zahera kama mfano hai wa hiyo Hoja / Taarifa yake? Huko Mashuleni na Vyuoni huwa mnaenda Kufanya nini kama hamna Akili hata ya Kugundua tu haya mambo mepesi mepesi?
Kumbe umeelewa kamaanisha nn mkuuNa Wewe ni lini umenza kuwa Juha hivi? Swali lipo wazi tu na linahitaji Logic kubwa kulielewa kwamba ni kwanini Makocha wapo wengi lakini Yeye aliyemuona ni Zahera? Hivi ukiwa mfuatiliaji wa mambo hujawahi Kusikia sehemu mbalimbali kuwa Watu wanalalamika hadi Kuponda aina ya Uvaaji wa Kishamba na wa kurudia rudia tu Nguo yake hiyo hiyo? Hivi ukiwa na Akili za Kutosha huwezi kujua kuwa hapo Mwandishi huyo amemtumia Zahera kama mfano hai wa hiyo Hoja / Taarifa yake? Huko Mashuleni na Vyuoni huwa mnaenda Kufanya nini kama hamna Akili hata ya Kugundua tu haya mambo mepesi mepesi?