MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Mhm bado yupo Chato??Yeye kajitenga chato katuachia msala.
Sio Padri huyo ni mdogo wake na padriAnother scholar is gone..!! Rest in peace padri
Huyu siyo PadriAnother scholar is gone..!! Rest in peace padri
Nimenawa mikono? Umefurahi sasa?Wewe Kama wewe umechukua hatua gani
Basi ujui kila mtu ananawaNimenawa mikono? Umefurahi sasa?
Acha hizo basi. Kauli ya mkuu ni muhimu ili kurejesha nidhamu ya tahadhari kwa watu.Watu wamejiachia kwa sababu wameamini kauli ya serikali kwamba ugonjwa haupo. Fikiria watu wangeambiwa ugonjwa upo chukueni tahadhari unadhani maisha ya watu wangapi yangeokolewa?Tuwe tunafikiri kwa kutumia vichwaAkisema ndo inaondoka au?
Very sad.Kwa heri Padri Prudence Karugendo
Ok,nilitaka kusema Padre ndo kaenda,,,rest in peace.Sio Padri huyo ni mdogo wake na padri
Apumzike kwa amani.R.I.P😒
Hiyo picha ni ya nani: Karugendo⁉️Oh! Prudence Karugendo Amefariki Dunia...
Nimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha mwanafamilia mwenzangu kwenye tasnia ya habari. Nilimfahamu Prudence hususani kwenye kazi yetu ya uandishi wa makala.
Nachukua fursa hii kumpa pole nyingi ndugu yangu kwenye uandishi, Padre Privatus Karugendo, kaka wa marehemu.
Apumzike Kwa Amani.
Maggid Mjengwa.
View attachment 1685584
Taarifa zaidi inafuata